Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, habari za usiku huu, ninaomba kujuzwa mrithi wa mali baada ya kizazi cha nne huwa nani. Mfano, Babu kaacha mali iliyorithiwa na Baba, baba akawaachia watoto wake yaani wajukuu wa babu je...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanahitaji wengi zaidi na zaidi na msipokoma mtaisha kweli. Jamani mwenyekidonda hajali idadi ya inzi wanaokufa yeye anaangalia kidonda chake tu na hukilinda. Narudia tena inzi wataisha wote kama...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mbowe aendelea kusota rumande kwa kosa la kujitakia kwa kuzizarau sheria za Tanzania walizozitunga wabunge wenyewe wakiwemo Mbowe Na Esther. Mbowe alipanda pipa kwenda Dubai akajisahau akapiga...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Vijana under 40 years nendeni ulaya kutafuta maisha,msikatishwe tamaa kwamba kule kugumu. Kama uko hapa nchini na bado una nia ya kutoboa,potelea zako huko ili mradi kule una mtu wa kukupigia...
16 Reactions
39 Replies
4K Views
Home of great thinker ha ha ha kuna kitu kimoja nimegundua humu jamii forums hila sidhani kama na nyinyi ma EXpert member mmeona kitu nilichogunduwa asilimia 85% ya vijana au wanafunzi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
#REPOST Lamps Collin Kuna tafiti kadhaa zimefanywa kuhusu siku ya Jumatatu. Wengine wanasema hizo ni imani tu. Kwa vyovyote itakavyokuwa tunakuletea mambo matano kuhusu Jumatatu. 1. Mwaka 2012...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya mwaka mzima kupita huku viroba vikiwa vimepigwa marufuku , hali imeanza kuwa tofauti sana hasa kwa vijana .Zamani ilikuwa muda wote vijana wananyonya viroba na afya ya akili zao ilikuwa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Aisee hakuna kitu kinaweza kukufanya utamani kuliaa lakini Machozi hayatoki Kama Kugombania siti ya Gari umekaa vizuri kuchek mfukoni hakuna Simuu...!! Aisee ilinikutaa mbagala siku mojaa achaa...
8 Reactions
171 Replies
18K Views
Hawa jamaa wa kata ya mandewa wako vizuri kiimani isee, Sasa hivi wanainua mjengo wa maana hapo parokiani .Mjengo huo ukimalizika utakuwa kwenye kiwango kizuri sanaa cha ubora na uzuri kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
I am very discouraged. Highly discouraged. Nilitumai viongozi wa dini wangetoa kero za waumini wao barabra. Kero hizi zilitakiwa zilenge mwenendo wa uchumi na uhusika wake na ziegemee matatizo ya...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Leo nimetembela ofisi za PSSSF kama inavyofahamika sasa baada ya kuunganishwa kwa mifuko ile ingine ya zamani yaani (PPF Pension Fund, Public Service Pension Fund (PSPF), Local Authorities...
0 Reactions
49 Replies
14K Views
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA. Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas. Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA. Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred. Kwanini huyo Teacher...
7 Reactions
61 Replies
9K Views
Juliana Jerome John Karen Collins Mariana Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchora Katuni Mkongwe wa Katuni ya Kingo Ndugu James Gayo anaandika. Baadhi ya waafrika wamekata tamaa. Baada ya tathmini yao ya mambo wameshaamua kuwa Afrika haiwezii kufikia maendeleo ya...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Tamisemi hasa idara ya Afya mnaua sekta ya Afya. Uongozi ni kipaji halisi mtu anazaliwa nacho, kipaji hicho huwa kinaboreshwa na Elimu. DMO/ RMO ni vyeo vya kukaa ofisini na kuzunguka huku na...
3 Reactions
88 Replies
20K Views
Ng'ombe wana thamani ya milioni 72 na zawadi hii ni kwa JWTZ,polisi na sekta ya afya DSM kwa ajili ya sikukuuu. Je, Pesa hizi anatoa wapi? Updates 14.1.2018 Makonda ametoa ahadi kwa mama wa...
3 Reactions
71 Replies
9K Views
Mzuqa Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama. Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu. Ila tuseme...
15 Reactions
41 Replies
7K Views
Inashangaza ktk website ya idara na Wizara za Serikali wameweka namba kibao za TTCL wanaita landline sasa karibu kupiga kama utakaaa kujibiwa. Nimeshajaribu wizara na tasisi kibao sasa mnayaweka...
2 Reactions
1 Replies
722 Views
MIUJIZA YA BIDENS PILOSA Licha ya kusambaa kwa mmea huu takribani sehemu nyingi ulimwenguni.Pia uliitwa majina mengi Adenolepis Spp na campylotheca Spp. Wachina huiita Gui zhen, Wahispania...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom