Je inawezekana kutunza harufu?

Je inawezekana kutunza harufu?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Matukio hutunzwa ktk picha nk...
Maiti hutunzwa...
Maji hutunzwa...nk nk

Sasa najiuliza inawezekana kutunza harufu?...kwa matumizi ya baadae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unataka uitunze kwa muda gani maana maiti huwa inakaa hata wiki 2 hiyo harufu inaweza kubaki hata mwezi mwingine kama utakifunga chumba
Au sijaelewa swali

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Harufu unaweza kuitunza hata kwa miaka kadhaa mkuu, kama utaweza kuiweka katika kifaa kisichoweza kuingiza na kutoa hewa kwa urahisi! Kwa mfano chupa nk!
Rejea utengenezaji wa manukato toka shambani kiwandani mpaka yanakufikia wewe! Hyo ni harufu unauziwa mkuu! Harufu ni harufu tu kwako yaweza kuwa ya kuvutia kwa mwenzio ikawa kero!
Ndo maana kuna watu wanaishi na kufanya kazi kwenye madampo na bado hawakereki na harufu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio unaweza, mfumo na njia rahisi Ni kwakutumia kitambaa.
Harufu hii huweza kuishi takribani miaka 25 endapo utatunza kitunzio hicho vizuri, pasipo na usumbufu, hewa, jua, maji na vumbi.
Naandika hapa nikiwa kama mmoja wa watu niliyetunza harufu ya Late mama yangu tokea nikiwa na umri wa miaka 4/5 na sasa nakaribia 20's.
 
Duuh Umetunzaje Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh Umetunzaje Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kubwa nikupata access ya harufu, ukifanikisha hilo na ukafuata niliyoyasema inawezekana.
Access ya harufu unaipata kwenye vitu asili ya vitambaa na isiwe Silk pia harufu hiyo isiwe iliyotokana na jasho wala yenye mchanganyo wa scents/perfumes.

Hata investigation nafanya ikihitaji kupitia harufu.
 
Harufu unaweza kuitunza hata kwa miaka kadhaa mkuu, kama utaweza kuiweka katika kifaa kisichoweza kuingiza na kutoa hewa kwa urahisi! Kwa mfano chupa nk!
Rejea utengenezaji wa manukato toka shambani kiwandani mpaka yanakufikia wewe! Hyo ni harufu unauziwa mkuu! Harufu ni harufu tu kwako yaweza kuwa ya kuvutia kwa mwenzio ikawa kero!
Ndo maana kuna watu wanaishi na kufanya kazi kwenye madampo na bado hawakereki na harufu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda alikuwa na maana ya harufu ya ushuzi
 
Shida kubwa nikupata access ya harufu, ukifanikisha hilo na ukafuata niliyoyasema inawezekana.
Access ya harufu unaipata kwenye vitu asili ya vitambaa na isiwe Silk pia harufu hiyo isiwe iliyotokana na jasho wala yenye mchanganyo wa scents/perfumes.

Hata investigation nafanya ikihitaji kupitia harufu.
Utakuwa na gene yaan viasili vya mbwa
 
Ingekua vzri ukamuuliza hili swali bwana James Ngomeroho, yeye ndie mtu anaeshikilia rekodi mpka sasa ya kutunza harufu mda mrefu tena chumbani kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani perfume ni nini,nadhani ni hewa yenye harufu iliyohifadhiwa mahali.
 
FIkiria ile ya ndani ya chupa ya pafyumu kabla haijatumika... Inaweza ikakaa muda gani?
Yale ni maji yenye harufu wakuu, sio harufu yenyewe.
Harufu unaweza kuitunza hata kwa miaka kadhaa mkuu, kama utaweza kuiweka katika kifaa kisichoweza kuingiza na kutoa hewa kwa urahisi! Kwa mfano chupa nk!
Rejea utengenezaji wa manukato toka shambani kiwandani mpaka yanakufikia wewe! Hyo ni harufu unauziwa mkuu! Harufu ni harufu tu kwako yaweza kuwa ya kuvutia kwa mwenzio ikawa kero!
Ndo maana kuna watu wanaishi na kufanya kazi kwenye madampo na bado hawakereki na harufu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa nia na madhumuni ya mleta thread anataka kufanya nini, mawazo yangu yamenipeleka labla anataka kutengeneza utajiri wa haraka.....
 
Hiv perfume iko kwenye state of gas or liquid?
It's a liquid in the container and a liquid aerosol after it leaves the atomiser nozzle.

The smell of perfume is generally due to slow evaporation of the liquid, while it is sprayed out as fine droplets (the aerosol).
 
Back
Top Bottom