Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hiki mlichotufanyia wakazi wa Dar na superunit yenu, ni ukorofi wa hali ya juu. unatoa GB 3/week/5000 kwa mantiki hiyo mtu atumie 20k/month. wakati mwanzoni tulikiuwa tunatumia 10k/month japo GB...
7 Reactions
94 Replies
9K Views
Ni kweli na ni Dhahiri TUFANI Ya lisu yaja Hofu imetanda kutokana na mengi -Ufisadi 1.5 Trillion - Mafao ya wastaasfu kuporwa -Kufyweka Fao la kujitoa - Wakulima kunyanyaswa - 2016 Suala la...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulanzi Ulanzi ni kinywaji kinachotokana na mmea ambao huota kwa wingi sehemu moja na hukua sana kwenda juu. Mimea hii ikiwa bado michanga hukatwa juu na ikishakatwa hutoa maji na kitu mithili ya...
6 Reactions
87 Replies
15K Views
Habarini wapendwa, Kwa waajiriwa wa serikali eti unaweza kucheck salary slip yao online, kama ndiyo basi tupeana ujanja.
0 Reactions
10 Replies
38K Views
KUGEUZWA MWENDAWAZIMU. Askari wa serikali, wanawasumbua wachuuzi wadogo wadogo wa nyanya, mchicha, mama ntilie nk Raisi anakuja anakwambia, "Mimi natambua jinsi mnavyosumbuliwa na askari katika...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
SERIKALI ya Japan imetoa ruzuku ya dola za Marekani 277,445 kwa ajili ya miradi mitatu ya kijamii, miwili ikiwa kisiwani Zanzibar. Miradi hiyo ya Zanzibar ni ujenzi wa bweni la wavulana katika...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke? Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani. Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za...
7 Reactions
73 Replies
7K Views
Niandikapo uzi huu natambua yakuwa naweza pingwa sanaaa na ili kundi la wanahabar nchini Tanzania! Awali ya mengi nianze kutoa pole kwa Ndgu yetu Rugemalira ambaye ni mkurugenzi wa vipindi hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kapuya Mwl maarufu na wa siku nyingi wa UDSM kwani licha ya kusoma shahada yake ya kwanza na shahada ya uzamili ktk chuo hichi kikubwa na chenye historia barani Afrika pia Kapuya amefanya kazi...
7 Reactions
103 Replies
18K Views
Katika maisha ya mwanadamu kukumbuka fadhila na msaada ambao alipata toka kwa mtu au watu akiwa hana kitu na yupo kwenye shida ni jambo wanaloweza watu wachache sana sana. Kuna watu wanaongea kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wachache sana ndiyo wanaotoa hii huduma.. Hv wengine hawaoni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni mmojwapo wa Mtanzania aliyefuata taratibu zote za kupata kitambulisho cha Kitaifa Aprili, 2018 lakini mpaka leo sijapata kitambulisho changu. Sasa hivi kuna masuala mengi katika nchi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshindwa kujizuia kukupongeza kwa kitendo cha kumwagiza Waziri husika kutatua changamoto za pale bandarini ambazo ni jana tu zimerushwa na redio clouds fm, ambapo wakongo walilalamika sana hasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ya watu hasa kwenye mitandao ya kijamii kupost rundo la vitabu walivyosoma ndani ya mwaka au hata kuonyesha vyumba vyao special kwajili ya kujisomea vilovyojaa vitabu. Nachoweza...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna hii video ipo youtube kitambo kidogo, inaonesha watu wakiuawa kwa mamia, wengine kwenye plots na wengine fukwe. Video inadaiwa kuchukuliwa Zanzibar mwaka 1964. Kwa wataalamu wa...
1 Reactions
137 Replies
22K Views
Ivory Queen': Mahakama ya Kisutu yampata na hatia 'malkia wa pembe za ndovu' Yang Feng Glan Tanzania Ivory Queen': Mahakama ya Kisutu yampata na hatia 'malkia wa pembe za ndovu' Yang Feng Glan...
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Binafsi nauona mradi huu kama mkombozi katika suala la usafiri hapa Dar hasa kwa maeneo unakopita japo bado una mapungufu mengi ( kwa maoni yangu)yanayotokana na usimamizi mbovu hivyo kupunguza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dodoma. Waziri wa Madini, Doto Biteko amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Simon Msanjila kuwasimamisha na kuwachukulia hatua za kinidhamu mara moja watumishi watatu wa wizara hiyo kwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amepiga marufuku kutolewa vibalina kuwasajili waganga wa jadi kutokana na ongezeko la waganga hao kuongezeka kwa matukio ya uhalifu kila uchwao ikiwamo ubakaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Iko wazi, Raia wengi siasa za majitaka na zile formal politics zimewachosha sana na kila wakisikia mwanasiasa anazungumza wanahisi ni uhongo mtupu. Raia wanataka kusikia kitu kipya cha tofauti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom