Huyu mzee namfananisha na wapambe wa Magufuli

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Pamoja na kwamba inachekesha lakini ukiangalia ni sawa na wale wapambe wa Magu ambao pamoja na kwamba kuna muda huwa anatoa kauli za ajabu na kutatanisha lakini wapambe wake huishia kusifia na kupiga kelele.

Kuna kauli kama ile ya fyatueni watoto ambayo ilikuja kukanushwa tena na waziri wa afya lakini wapambe wake walipiga makofi
Kuna ile aliposema wazungu wa accacia aliposema wanatuibia wapambe wakapiga makofi lakini hao hao wazungu walipokutana nae akawaita wanaume wa shoka nk
Hivyo hivyo kwenye hii video mwanzo huyo mama kukohoa tu mzew anashangilia mpaka basi na mwisho alipoona hawampi support kaamua kuwapiga na viti sawa sawa na wale wana LumumbaView attachment 52445423_149006226017041_5036967456669696000_n.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom