Majina mengine yanachekesha sana. Skia hii!

Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,572
2,000
Kuna time tulikuwa Zambia kikazi pale Lusaka sehemu moja hivi inaitwa Nyumba Yanga na kuna Mzee alikuwa ana jina linachekesha sana kwa tafsiri ya kiswahili ila kikwao huyu mzambia ilikuwa fresh. Huyu Mzee jina lake lilikuwa ni Pumbu Bwalya.

Sasa kwa sisi waswahili pumbu maana yake ni ukakasi mtupu. Sasa kila asubuhi sisi waswahili watano tukawa tumeanzisha mtindo lazma tupite ofisini mwake tumsalimie "Good morning Pumbu!" anaitikia morning guys... Kinachofuata tunaondoka hatuna mbavu..tunacheka hadi machozi kisa tumesalimia pumbu.

Sasa jamaa akashangaa mbona hawa Watanzania wakinisalimia tu wanacheeka hivi? Wenzake wakambwambia Watanzania ni watu wazuri sana wanapenda kufurahi na kila mtu. Hawakujua! Ni Pumbu ndio lilikuwa linatuchekesha.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
925
1,000

Hivi wewe ukiangalia pumbu zako unacheka?
 
Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Tulivyokua A-level tulikua na mwalimu wetu mganda yeye kila akisikia jina la Doto alikua anaangua kicheko tu, baadae sana ndio akatuambia neno Doto kwao inamaanisha mapyumbu.

Maendeleo hayana chama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom