Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo.. Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke 1.ushoga 2.ubasha 3.ulawiti 4.ubakaji...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Pub ya Sun siro imejikuta ikiingia katika kashfa kubwa na nzito baada ya kuwabagua watu wenye asili ya Kimasai kupata huduma maeneo hayo. Wahudumu wameanza kuhaha kutafuta kazi sehemu nyingine...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
UDEREVA WA KUJIHAMI Je, unafahamu kuwa dereva wa kujihami ni kutumia akili ili kuepusha ajali zinazozuilika? Na ili uweze kuepusha ajali unatakiwa uchukue maamuzi yafuatayo; 1. KUANGALIA (SEE)...
2 Reactions
1 Replies
17K Views
Ajali imetokea Jioni Hii daraja LA MTO wami USO kwa uso basi pamoja na Fuso. Taarifa zaidi zinakuja Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
151 Replies
32K Views
Habari wana jamvi? Kwa wale wenye uelewa na kanuni za Idara za Maji, ninatumia maji ya bomba kutoka Mamlaka ya Maji ya Mji mmoja. Ninavyojua kisheira hairuhusiwi kuuza maji bila idhini ya mamlaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ujinga ni hatari.Ujinga adui mkubwa mno.Ujinga humfanya mtu kuwa mtumwa wa hiari au wa lazima.Ujinga ni MTAJI MKUU wa shetani na wafuasi.Ujinga ni mtaji wa wanasiasa uchwara,wachovu na wasaka...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
KAMPUNI mbili za China zimeonesha nia ya kuanzisha magari ya waya yatakayokuwa yakiendeshwa kwa umeme kwa ajili ya kupandisha watalii katika Mlima Kilimanjaro. Hayo yamesemwa na Mhifadhi Mkuu wa...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
The industrialisation drive, which is targeting to transform Tanzania to middle income country by 2025, has continued to bear fruit by cutting the country’s imports and increasing exports to other...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimekamatwa Keko wanapaita bodi nilikuwa nakunywa chai ghafla difenda tukachukuliwa hadi site. Hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipofika tukaambiwa tutoe faini elfe 50. Ukihoji vizuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wiki sasa nasikia minong'ono wafanyabiashara wa congo wanalalamika mizigo inachelewa wanaingizwa gharama zisizo na umuhimu mara escot mara stripping hapana bial maandalizi hivi...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Taarifazilizofika punde,inasemekana mwenyekiti kiti wa mtaa wa Mwembe bamia huko chamazi kwa ticket ya ccm, jamaa ua Ni mshiriki magendo na kujihushisha na biashara chafu. Kikubwa na kibaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mradi wa ujenzi uboreshaji wa miundo mbinu unaofadhiliwa na benki ya dunia kata ya Mbagala Hadi leo haujaanza licha ya ahadi iliotolewa na afisa anaesimamia miradi manispaa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana bodi. Sijui nimekumbwa na ugonjwa gani. Zamani kama miaka mitatu iliyopita nilikiwa niko addicted na usomaji wa magazeti. Niliweka mpaka bajeti ya kununua magazeti kila mwezi. Ilikuwa ni...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ameagiza Tume ya Madini kufuta maombi ya leseni za watu na kampuni zote ambazo zimeshikilia leseni bila sababu za msingi ikiwamo maombi ya leseni zaidi ya 700 za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi nimeona niiwakaliishe hii kama maoni yangu binafsi kuwa NHIF TAIFA waje na suluhisho kwa kuwa na mfumo wa tehama unaochuja taarifa kwa kanda utakaowezesha mimi kama mwanachama...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Si jambo la kufikirika tena ama la mzaha kuwa tangu Tundu Lissu anusurike kifo kwa marisasi mengi mengi kuna sehemu ya watanzania wenzake hawakufurahia hilo jambo... Hasa hawa.... Waliobuni wazo...
34 Reactions
67 Replies
10K Views
Hatimaye Ben Kinyaiya kaibuka na kuwajibu wanaomwandama na kumsema kwamba kaoa mbibi. Jibu rahisi alilotoa ni kwamba hayawahusu.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu mimi ni mtembea kwa miguu mzoefu hapa Dar, lakini ninakumbana na kero ya kina mama kujifanya wababe wakati nguvu hawana. Unajitahidi kumkwepa Mwanamama lakini yeye anatunisha kifua mpaka...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mlimbwende na mwanamitindo mahiri wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata, amewatolea uvivu wanasiasa ndumilakuwili ambao pindi wakiwa na madaraka hufanya maamuzi ambayo si sahihi au yasiyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Ukikutana na Mwanamke tu ile unatoka tu Kuamka basi Siku yako itakuwa na Mikosi. 2. Ukiwapiga ' Chabo ' Paka Dume na Jike ' wanafanyana ' basi utapokea Msiba ( siyo Cyprian ) 3. Ukishindwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…