Ukiruhusu useja jua umeruhusu ushoga.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
4,854
2,000
Kwa hiyo tusifuate sheria za binadamu tufuate Sharia sio?

Sharia yenyewe ni sheria za kibinadamu ndugu, sema zenyewe zimetungungwa tu na binadamu wa karne ya 7 wenye elimu na uelewa duni wa mambo mengi
 
Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
2,450
2,000
Kama wewe hauwezi tulia. Kuna wenzio marijali, wanaweza, wameweka viapo na nadhiri na wanaziishi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz

much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643
2,000
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama ushawahi kuishi japo km moja toka anapoishi padre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,507
2,000
HILI NI JIWE GIZANI, UKISIKIA YALAAA BASI LIMEMPATA.
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilele9

JF-Expert Member
Jun 1, 2017
1,141
2,000
Kwa hiyo tusifuate sheria za binadamu tufuate Sharia sio?

Sharia yenyewe ni sheria za kibinadamu ndugu, sema zenyewe zimetungungwa tu na binadamu wa karne ya 7 wenye elimu na uelewa duni wa mambo mengi
Amri 10 alizopewa Musa
 
snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
238
500
Vp kuhusu makasisi kufirana na kufira watoto makanisani.
Vp kuhusu mapdri kuwa gonga masisfer.
Kesi haziishi.
Mfano mdogo tu, ukisikia bbc, cnn, sky news na local tv channels wanapotangaza ushoga na ulawiti, ujue makasisi wa makanisa makubwa huwa hawakosi, na kama unafuatilia habari vizuri nadhani utakua umenielewa.
Hitimisho.
Tambua ya kwamba, katika uislamu na ukristo hakuna sehemu ambayo imeruhusu ushoga, ulawiti, ubakaji na uzinzi wa aina wowote ule.
Na ukiona mtu yeyote anaye husika na dini hizo mbili anafanya ujinga huo, basi hatufai na apewe adhabu.
WATANZANIA TUPENDANE, DINI ZIMELETWA TU.
ILA MAADILI NI KITU MUHIMU, NA TUPIGE VITA UKIUKWAJI WA MAADILI.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom