Nimekosa hamu ya kusoma magazeti

Nimekosa hamu ya kusoma magazeti

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,144
Wana bodi.

Sijui nimekumbwa na ugonjwa gani. Zamani kama miaka mitatu iliyopita nilikiwa niko addicted na usomaji wa magazeti. Niliweka mpaka bajeti ya kununua magazeti kila mwezi.

Ilikuwa ni lazima kununua gazeti la MWANANCHI kila siku. Kila Jumatatu ilikiwa lazima niwe nalo gazeti la Mwna Halisi. Kila Jumatano RAIA MWEMA la akina Ulimwengu, Mbwambo na Dilunga lilikuwa mezani kwangu. Kila Alhamis MAWIO la Saed Kubenea, Jabir, Maloto halikukosa pia. Lalini pia Alhamis hiyo hiyo Rai Nguvu ya hoja ilikuwa lazima nilisome. Tanzania Daima la Jumatano nalo pia nililipenda kwa makala zake .

Cha kushangaza siku hizi sinunui gazeti hata moja na wala sishawishiki kufanya hivyo. Siku hizi Jamii Forums ndio kimekuwa chanzo changu kikuu cha habari za kuamonika.
Kipindi hicho watu wangu wakiniita bwna Magazeti. Nilikuwa reference tosha kwa watu wkianzisha ubishi wa jambo lolote wkikosa muafaka wakija kwangu wakoamini nitakuwa na taarifa sahihi ya jambo linalobinashiwa.
Nifanyeje jamani kurudisha tabia yangu ya zamani ya kupenda kusoma hasa magazeti yetu ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kilikuvutia kwenye magazeti kipindi kile?? Tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba lowasa ni fisadi kisha miaka nane badae wanakuambia si fisadi kama una ushahidi uende mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
na kwamba korosho zingenunuliwa kwa siku mbili tu kumbe nasikia mpaka leo holla!
kwamba watawala waliuzia nyumba vimada na vidosho wao yalivutia wengi
kwamba kivuko kibovu leo ni screpa jeshini
pia kwamba nauli ya kwenda kigamboni ni kubwa asiyeweza apige mbizi
kwamba aliingiza makontena kwa jina binafsi lakini aliachwa na kwamba kina aliyewahi kukosea kutaja namba tu akafurushwa.
BWANA MKUBWA NI SAWA NA JIWE LA CHUNVI
 
Wana bodi.

Sijui nimekumbwa na ugonjwa gani. Zamani kama miaka mitatu iliyopita nilikiwa niko addicted na usomaji wa magazeti. Niliweka mpaka bajeti ya kununua magazeti kila mwezi.

Ilikuwa ni lazima kununua gazeti la MWANANCHI kila siku. Kila Jumatatu ilikiwa lazima niwe nalo gazeti la Mwna Halisi. Kila Jumatano RAIA MWEMA la akina Ulimwengu, Mbwambo na Dilunga lilikuwa mezani kwangu. Kila Alhamis MAWIO la Saed Kubenea, Jabir, Maloto halikukosa pia. Lalini pia Alhamis hiyo hiyo Rai Nguvu ya hoja ilikuwa lazima nilisome. Tanzania Daima la Jumatano nalo pia nililipenda kwa makala zake .

Cha kushangaza siku hizi sinunui gazeti hata moja na wala sishawishiki kufanya hivyo. Siku hizi Jamii Forums ndio kimekuwa chanzo changu kikuu cha habari za kuamonika.
Kipindi hicho watu wangu wakiniita bwna Magazeti. Nilikuwa reference tosha kwa watu wkianzisha ubishi wa jambo lolote wkikosa muafaka wakija kwangu wakoamini nitakuwa na taarifa sahihi ya jambo linalobinashiwa.
Nifanyeje jamani kurudisha tabia yangu ya zamani ya kupenda kusoma hasa magazeti yetu ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka 2 sasa tangu yaanze kuandika kusifu na kuabudu mungu mweusi sijawahi soma gazeti wala kununua. Huwezi kupata ladha halisi kwenye magazeti taarifa sahihi ni kwenye mitandao unapata taarifa ambayo haijachujwa.Ni bora ninunue kondomu kuliko kununua takataka za kuchafua akili yangu.
 
Write your reply...Tangu wafunge bunge live
 
na kwamba korosho zingenunuliwa kwa siku mbili tu kumbe nasikia mpaka leo holla!
kwamba watawala waliuzia nyumba vimada na vidosho wao yalivutia wengi
kwamba kivuko kibovu leo ni screpa jeshini
pia kwamba nauli ya kwenda kigamboni ni kubwa asiyeweza apige mbizi
kwamba aliingiza makontena kwa jina binafsi lakini aliachwa na kwamba kina aliyewahi kukosea kutaja namba tu akafurushwa.
BWANA MKUBWA NI SAWA NA JIWE LA CHUNVI

Basi basi baaasi mkuu

🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌
 
Me nshaacha kitambo,... Wana Habari wamekua waoga wa kuandika Habari zinazoilenga jamii,.. Kila kukicha ni kumsifia jiwe tuu kwa uongo kbs... Ukija Habari za mchezo kwa sasa ni kama siasa na udaku, hamna kitu.... Ila nashangaa magazeti yanaongezeka ya Chama kimoja na yote yanaandika uzwazwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom