Kuna siri gani kati ya Jiji na Serikali?

tinetini

Member
Oct 15, 2018
68
125
Leo nimekamatwa Keko wanapaita bodi nilikuwa nakunywa chai ghafla difenda tukachukuliwa hadi site. Hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipofika tukaambiwa tutoe faini elfe 50. Ukihoji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini

Sasa nashangaa huu utaratibu gani kwa Serikali yetu?

Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tinetini

Member
Oct 15, 2018
68
125
Huku keko kila siku ya Mungu lazima wapite kupiga doria.Kuna jamaa angu alichukuliwa asubuhi kwenye nyumba yake anayoijenga wakati anabeba mchanga Akakamatwa akaingizwa kwenye defenda.kufika polisi chang'ombe wakasema walikuwa wanacheza kamali.
Yani polisi wengine wahuni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hata sielew adi sasa na wanatoa risiti kabisa unalipiaa benki ila ukamataji wao sijaupenda kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,506
2,000
Leo nimekamatwa keko wanapaita bodi nilikua nakunywa cha ghafla difenda tukachukuliwa hadi site .iyo hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipo fika tukaambiwa tute fain elf 50 .hukioji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini .sasa nashangaa huu utaratibugani kwa serikari yetu? Samahani sio mwandishi mzuri ila Leo nimetafuta hadi nimejuaa wapi wanaandika nami nitoe malalamiko yangu ,nawaslisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kua mzalendo
Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,865
2,000
Samahani sio mwandishi mzuri ila Leo nimetafuta hadi nimejuaa wapi wanaandika nami nitoe malalamiko yangu ,nawaslisha
Umeingia 15 /10/2018 leo ndiyo umejua mahali pa kutoa maoni...!!! Na ni dakika 22 zimepita toka upost uzi huu!!!
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,473
2,000
Leo nimekamatwa keko wanapaita bodi nilikua nakunywa cha ghafla difenda tukachukuliwa hadi site .iyo hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipo fika tukaambiwa tute fain elf 50 .hukioji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini .sasa nashangaa huu utaratibugani kwa serikari yetu? Samahani sio mwandishi mzuri ila Leo nimetafuta hadi nimejuaa wapi wanaandika nami nitoe malalamiko yangu ,nawaslisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetoa mchango wa stigla goji. Vumilia tu maana maendeleo hayana chama.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,400
2,000
Watu wanatia grisi vyuma vilivyo kaza. Hawaangalii wala kujali kuwa wanakamua walalahoi.
Hiyo ya amri kutoka juu ni zuga tu, rais anakujua wewe hata akutumie watu wake wakukamate?
Leo nimekamatwa Keko wanapaita bodi nilikuwa nakunywa chai ghafla difenda tukachukuliwa hadi site. Hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipofika tukaambiwa tutoe faini elfe 50. Ukihoji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini

Sasa nashangaa huu utaratibu gani kwa Serikali yetu?

Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
citymist

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
701
1,000
Leo nimekamatwa Keko wanapaita bodi nilikuwa nakunywa chai ghafla difenda tukachukuliwa hadi site. Hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipofika tukaambiwa tutoe faini elfe 50. Ukihoji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini

Sasa nashangaa huu utaratibu gani kwa Serikali yetu?

Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa inatafutwa kwa nguvu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom