Wanawake wa Dar hasa watembea kwa miguu tutaonana wabaya kwa kujifanya wababe

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
1,964
2,000
Wakuu mimi ni mtembea kwa miguu mzoefu hapa Dar, lakini ninakumbana na kero ya kina mama kujifanya wababe wakati nguvu hawana.

Unajitahidi kumkwepa Mwanamama lakini yeye anatunisha kifua mpaka akugonge tu afu utasikia samahani msipobadilika tukikutana nitawasukuma na ukileta mdomo utajuta.

Ninyi ni hodari kuwalaumu wanaume wa Dar sasa hii ni tahadhali. Kama wewe unatembelea gari pita kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,337
2,000
Ni wakosefu wa adabu tu.Mwanamke mwenye kujiheshimu ataanzaje kutaka apigane vibega na akina baba au kung'ang'aniza apite katikati ya wanaume?
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
7,614
2,000
Kungekuwa na utaratibu wa kutembea upande mmoja na kupishana kama magari
Wakuu mimi ni mtembea kwa miguu mzoefu apa Dar, lakini ninakumbana na kero ya kina mama kujifanya wababe wakati nguvu hawana. Unajitahidi kumkwepa mwanamama lakini yeye anatunisha kifua mpaka akugonge tu afu utasikia samahani msipobadilika tukikutana ntawapush na ukileta mdomo utajuta. Ninyi ni hodari kuwalaumu wanaume wa dar sasa hii nitaadhali.

Kama wewe unatembelea gari pita kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom