Tujifunze Imani mbalimbali za ' Kiswahili ' na jinsi Wewe kama Wewe ulivyozipangua au ulivyozipokea

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,757
2,000
1. Ukikutana na Mwanamke tu ile unatoka tu Kuamka basi Siku yako itakuwa na Mikosi.
2. Ukiwapiga ' Chabo ' Paka Dume na Jike ' wanafanyana ' basi utapokea Msiba ( siyo Cyprian )
3. Ukishindwa Kuudhibiti ( Kuukontroo ) Ushuzi wako na ukakushinda na Ukajamba ni dalili ya kuwa Shoga
4. Ukidondokewa sana na Mjusi hasa wale wadogo wadogo ni dalili kuwa Mwanamke umempa Mimba
5. Ukiona Mtoto mchanga hadi wa miaka mitatu analialia sana jua Jina ulilompa lina Nuksi iliyotukuka.
6. Ukiona Ndege mpya zilizonunuliwa kwa ' Cash Money ' haziruki jua Wazungu wamechezea Kende zetu.
7. Ukiona Kagere kaziba Jicho lake moja jua Mitaa ya Twiga na Jangwani ' wanatafutana ' na kimenuka.

Haya ni baadhi tu ila mengine unayoyajua na Wewe pia unaweza ukayaongezea hapa. Kuwa huru tu.

Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom