Mradi wa ujenzi uboreshaji wa miundo mbinu unaofadhiliwa na benki ya dunia kata ya Mbagala Hadi leo haujaanza licha ya ahadi iliotolewa na afisa anaesimamia miradi manispaa ya temeke,aliyejitambulisha kwa jina moja la Edward,katika ziara ya DC wa temeke kwamba mradi huo ungeanza mwezi January 2019 Hadi Leo kimya,tunaomba wahusika mtujulishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app