No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
Haswa wale wa Kariakoo nimewavumilia nimeshindwa,Yaani mtu akijichanganya Haijulikani Mita ni ipi na foot ni Ipi? Wana J.f wenzangu naomba tusaidiane hapa watu wanaibiwa sana kule Kariakoo na huko mitaani kwani wanaposema mita moja ni Tsh.5000/= au 6500/= wanammaana yao Tofauti na inavyojulikana hasa dada zetu na mama zetu wanaibiwa sana bila Kujijua. Nashauri kabla hujatoka kwenda kununua hizo bidhaa Itakusaidia sana....Sio wote Tumesoma jamani tusaidiane.....Pesa anayoibiwa mwenzako huenda ingekusaidia wewe kesho.