TRA iangalie sasa kodi kwenye michezo.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,111
2,000
Tumezowea kusikia nchini Spain baadhi ya wachezaji maarufu na hivi karibuni kocha maarufu wakishitakiwa kwa ukwepaji wa kodi hapa wakati fulani TFF baadhi ya mali zake zilishikilliwa na TRA kwa suala la ulipaji kodi.
Hivi sasa utasikia magazetini yakiwa na habari za wachezaji wa baadhi ya vilabu kupewa mamilioni ya pesa, hapa inakuwaje? Kama wachezaji na makocha wanalipwa mishahara je kodi inakusanywa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom