nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 940
Nimeipata hii habari ikiwa kipande hivyohivyo, ila sijajua Ni gazeti gani limeandika.
Nashukuru mkuu, ngoja kesho asubuhi niwahi mataa ya uhuru/msimbazi nikajipatie nalala yangu kwa habari kamili.Uandishi wa habari leo aiseeee
Nimedokezwa ni gazeti la habari Leo limeripoti, sasa sijui unamaanisha wao ndio wapimwe mkojo?
Mazingira karibia sawa na ulivoipata weweUmeipata wapi?
Mazingira karibia sawa na ulivoipata weweWewe hicho kipande umekipata wapi?
OkMazingira karibia sawa na ulivoipata wewe
Huu muonekano ni wa Tanzania Daima. Sitta Tumma ni mwandishi wa Tanzania DaimaNimeipata hii habari ikiwa kipande hivyohivyo, ila sijajua Ni gazeti gani limeandika. View attachment 575506
Asante Sana!,kwa mwendo huu Tutafika Tu!.Huu muonekano ni wa Tanzania Daima. Sitta Tumma ni mwandishi wa Tanzania Daima
But why boss?Asante Sana!,kwa mwendo huu Tutafika Tu!.
Si kwa details ulizonipa mkuu, Kama ni za kweli Ina maana sitasumbuka kupata gazeti husika!But why boss?
Ninahakika na hilo chief.Si kwa details ulizonipa mkuu, Kama ni za kweli Ina maana sitasumbuka kupata gazeti husika!