Vijiwe vya wauza kahawa pamoja na jumuiya za kikatoliki ni chanzo kizuri cha habari za kiinterejensia

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Mara nyingi nimekuwa nikipiga story na baadhi ya wadau huku wakisema kuwa vijiwe vya wanywa na wauza kahawa pamoja na jumuiya za nyumba kwa nyumba za kikatoliki ni source nzuri ya habari za kiinterijensia.

Na wengi wao husema kuwa maeneo kama hayo ni lazima ukute mnywanywa akitafuta habari zilizojiri mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kupitia hizi jumuiya za kikatoliki unaweza pata vipi taarifa? Maana zinavyoendeshwa kupata taarifa za umbea ni kazi ninavyoona kutokana uendeshaji wake.
 
Kuna vijiwe baadhi ya Mikoa kila nikitembelea lazima niende (Morogoro_near roundabout ya mjini,Dar es salaam Kariakooo_city center).Funga Kazi ni MEZA YA DUARA_Kigoma.Moja ya Kijiwe cha Kahawa chenye kila aina ya Tasnia (Michezo,Dini,Siasa,Wanyama,Elimu,Sheria,Uganga etc).Yaani nikiwa miongoni mwa eneo lolote hapo nitajaribu kufix ratiba nihudhuria hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi nimekuwa nikipiga story na baadhi ya wadau huku wakisema kuwa vijiwe vya wanywa na wauza kahawa pamoja na jumuiya za nyumba kwa nyumba za kikatoliki ni source nzuri ya habari za kiinterijensia.

Na wengi wao husema kuwa maeneo kama hayo ni lazima ukute mnywanywa akitafuta habari zilizojiri mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi Jumuiya zipo kila dhehebu siyo Katoliki pekee yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom