EATV & EAFM Jina kubwa ila contents zao 98% zinahusu Tanzania Pekee

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,698
2,000
Hizi media zenye jina la East Africa kwakweli hatitendei haki watazamaji/ wasikilizaji wake, wataalamu wanasema jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani, lakini kwa hizi media sivyo hivyo.
images.png

images.jpeg

Ni bora kama IPP MEDAI kama imeshindwa kukidhi haja ya mchi za East africa waachie jina kampuni yenye uwezo ili watu tupate contents za nchi zote.

ANGALIA VIPINDI VYAKE KWENYE TV
================================
1. Kurasa, imebase tz
2. Uswaz, tz
3. Kali za wana, tz
4. Eatv saa 1(local newz), tz
5.dadaz, tz
6. Enewz, tz
7. Nivana, tz
8. 5 sport, tz
9. Weekend movie, tz
10. 5select, tz
11. Wakilisha, tz
Nk

KWENYE RADIO
================
1. EA breakfast... hii imebase saba tz
2. Planet bongo
3. Kipenga ( tz & ulaya)
4. Nk

Hakuna mtangazaji wa nchi nyingine za EA
SIdhani kama wana studio nchi nyingine

Watupe radha za
UG
KE
RWANDA
BURUNDI
ETHIOPIA

PIA KWENYE TAARIFA ZA HABARI LOCAL NEWS ZIWE ZA EA CONTRIES.
 
Attachments

  • 20190226_141541.jpeg
    File size
    33.3 KB
    Views
    18

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
Asee jamaa alikua kichwa ,EATV /EAR chini yake ilikua poa Sana

Bush baby
Ssebo
Baby kabae

Production
Josh murunga

MTC | 101|
Kweli kabisa mkuu jamaa aliondoka na EATV/EAR yake.,palikua hot sana aiseee.

Maana kipindi chake kweli hivyo vituo vili reflect Tanzania,Kenya na Uganda lkn kwa sasa vina reflect Bongoland tu.
 
Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,698
2,000
Kweli kabisa mkuu jamaa aliondoka na EATV/EAR yake.,palikua hot sana aiseee.

Maana kipindi chake kweli hivyo vituo vili reflect Tanzania,Kenya na Uganda lkn kwa sasa vina reflect Bongoland tu.
Strictly kenyan
Uganda central

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
933
1,000
Hapa bara Media za IPP ninadhani ni kati ya media kongwe sana lakini sijui kuna shida gani kiuendeshaji, kadiri siku zinavyokwenda zinadumaa tu. Kuna Tv za Kenya zilikuja baadae sana lakini zipo bomba sana kuanzia muonekano wa studio, graphics na contents. Yani unapenda kutazama Tv hata kama hupendi content inayorushwa. Kwa sasa Azam ndiyo anatukumboa, wapo vizuri sana kimuonekano, ila wanapaswa kuongeza habari za uchunguzi. Hongereni Azam, ITV na vitoto vyake mjiulize mlipokwama.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,045

Sisi clouds Tv tupo kwenye nafasi ipi ?
 
mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
2,000
Hizi media zenye jina la East Africa kwakweli hatitendei haki watazamaji/ wasikilizaji wake, wataalamu wanasema jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani, lakini kwa hizi media sivyo hivyo.
View attachment 1032549

View attachment 1032550
Ni bora kama IPP MEDAI kama imeshindwa kukidhi haja ya mchi za East africa waachie jina kampuni yenye uwezo ili watu tupate contents za nchi zote.

ANGALIA VIPINDI VYAKE KWENYE TV
================================
1. Kurasa, imebase tz
2. Uswaz, tz
3. Kali za wana, tz
4. Eatv saa 1(local newz), tz
5.dadaz, tz
6. Enewz, tz
7. Nivana, tz
8. 5 sport, tz
9. Weekend movie, tz
10. 5select, tz
11. Wakilisha, tz
Nk

KWENYE RADIO
================
1. EA breakfast... hii imebase saba tz
2. Planet bongo
3. Kipenga ( tz & ulaya)
4. Nk

Hakuna mtangazaji wa nchi nyingine za EA
SIdhani kama wana studio nchi nyingine

Watupe radha za
UG
KE
RWANDA
BURUNDI
ETHIOPIA

PIA KWENYE TAARIFA ZA HABARI LOCAL NEWS ZIWE ZA EA CONTRIES.

Kulikuwa na Strictly Kenya na Uganda Central ila vipindi kama wakashindwa kuviendesha, na vilikuwa reported kutoka maeneo tajwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom