Kwanini hii ndoto inanirudia sana?

MCHEBETE

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
238
500
Habari wanajamvi
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika
Nilimaliza kidato cha sita mika kumi na moja(2008),nikisoma mchepuo wa sayansi.Kuna ndoto huwa inanitokea mara kwa mara siwezi maliza hata miezi mitatu bila kuota ndoto hiyo
Hii ndoto naweza kuota nimerudi shule tuko form six tunajiandaa kufanya mitihani ila kila ninachosoma naona sikielewi,kuna kipindi naota serikali imefuta matokeo yote ya form six (2008) tumeambiwa turudi kufanya mitihani upya ,najikuta nikishika physics sikumbuki kitu,nikigusa Advance Math ndio silewi kabisa.
Kuna kipindi nikaawauliza jamaa niliosoma nao kama nao wamwahi pata ndoto kama hii,ila hakuna aliwahi kupata ndoto kama yangu
Sijawahi ota niko chuo,wala o-level nafanya mtihani,wala primary school.Ila kiukweli hii ya kuota narudia mtihani wa form six ,siwezi maliza hata miezi mitatu muda mwingine mpaka nakurupuka

Najua kuna watu humu wanaweza kunipa muongozi kwa nini hii ndoto inajirudia mara kwa mara
 
Flexi lady

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
281
250

Pole. Ila mara nyingi kitu kinachojisuria kina makusudi ndani yake, kimsingi ukiota uko darasa la nyuma ama uliloishia inamaanisha kuna level ambayo bado hujaivuka in spiritual realm, iko hivi mambo mengi huwa yanaanzia katika ulimwengu wa roho halafu yanakuja kuwa halisia katika maisha ya kawaida. Nsio maana hata wachawi wanamaliza maiaha ya watu katika ulimwengu wa roho halafu baadae yanakuja kuwa halisi katika maisha ya kawaida.
Sijajua imani yako katika Mungu imesimama wapi ila ukichunguza katika maisha ya kawaida kuna mambo/jambo lako ambalo halisogei au haliendelei. Au kuna jambo la maingi unalopaswa kulifanya ila huwezi kuliendeleza au unapata changamoto kulifanya then unakata tamaa.Sasa ukifanya utafiti kwenye eneo lolote la maisha yako utaelewa. Baada ya hapo fanya maombi ya toba Mungu akurehemu ikiwa ipo sababu ya wewe kupitia hali hiyo. Halafu mshukuru Mungu. Utanipa mrejesho

Nilichokueleza mimi niliexperience but mimi niliota nimerudia darasa la pili kutoka chuo. Ila niligundua kuna kosa nilimkosea Mungu ndio mana yakanikuta hayo na mambo yangu yalikua hovyo kabisa, ila niliomba Mungu anirehemu nikaacha kabia kurudia kosa hilo, nikaanza kuota eti nimeanza shule niko Advanced level from class two. Nikajua hata Mungu amenisamehe but as I go on naona level zinaendelea mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,398
2,000
Mh..bas na mie mnisaidie kutafsiri hii ndoto..nimewah ota nimeolewa na Kangi (serious jaman msaada wenu)..je ni laana au heri😊
 
Horseman

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
432
500
Habari wanajamvi
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika
Nilimaliza kidato cha sita mika kumi na moja(2008),nikisoma mchepuo wa sayansi.Kuna ndoto huwa inanitokea mara kwa mara siwezi maliza hata miezi mitatu bila kuota ndoto hiyo
Hii ndoto naweza kuota nimerudi shule tuko form six tunajiandaa kufanya mitihani ila kila ninachosoma naona sikielewi,kuna kipindi naota serikali imefuta matokeo yote ya form six (2008) tumeambiwa turudi kufanya mitihani upya ,najikuta nikishika physics sikumbuki kitu,nikigusa Advance Math ndio silewi kabisa.
Kuna kipindi nikaawauliza jamaa niliosoma nao kama nao wamwahi pata ndoto kama hii,ila hakuna aliwahi kupata ndoto kama yangu
Sijawahi ota niko chuo,wala o-level nafanya mtihani,wala primary school.Ila kiukweli hii ya kuota narudia mtihani wa form six ,siwezi maliza hata miezi mitatu muda mwingine mpaka nakurupuka

Najua kuna watu humu wanaweza kunipa muongozi kwa nini hii ndoto inajirudia mara kwa mara
Nimewahi kuota ndoto kama hii karibia details zote muhimu zimefanana.

Naamini Mungu anajaribu kusema na wewe juu ya jambo ambalo litakuja kama funzo/fundisho kwako. Mathalani kuna ishu ambayo umetokea kuitafutia ufumbuzi kwa muda mrefu lakini imekuwa ikijirudia.

Ushauri: Ongeza ukaribu wako na Mungu atakufunulia nini unapaswa kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,369
2,000
Pole. Ila mara nyingi kitu kinachojisuria kina makusudi ndani yake, kimsingi ukiota uko darasa la nyuma ama uliloishia inamaanisha kuna level ambayo bado hujaivuka in spiritual realm, iko hivi mambo mengi huwa yanaanzia katika ulimwengu wa roho halafu yanakuja kuwa halisia katika maisha ya kawaida. Nsio maana hata wachawi wanamaliza maiaha ya watu katika ulimwengu wa roho halafu baadae yanakuja kuwa halisi katika maisha ya kawaida.
Sijajua imani yako katika Mungu imesimama wapi ila ukichunguza katika maisha ya kawaida kuna mambo/jambo lako ambalo halisogei au haliendelei. Au kuna jambo la maingi unalopaswa kulifanya ila huwezi kuliendeleza au unapata changamoto kulifanya then unakata tamaa.Sasa ukifanya utafiti kwenye eneo lolote la maisha yako utaelewa. Baada ya hapo fanya maombi ya toba Mungu akurehemu ikiwa ipo sababu ya wewe kupitia hali hiyo. Halafu mshukuru Mungu. Utanipa mrejesho

Nilichokueleza mimi niliexperience but mimi niliota nimerudia darasa la pili kutoka chuo. Ila niligundua kuna kosa nilimkosea Mungu ndio mana yakanikuta hayo na mambo yangu yalikua hovyo kabisa, ila niliomba Mungu anirehemu nikaacha kabia kurudia kosa hilo, nikaanza kuota eti nimeanza shule niko Advanced level from class two. Nikajua hata Mungu amenisamehe but as I go on naona level zinaendelea mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa; watu wengi sana wanaota ndoto hii. Hata hao rafiki zako ukiwauliza kwa undani kabisa watakuambia, walikuficha tu lakini ndoto hizi ni nyingi.

Maana ya ndoto hizi ni kukwama au kurudishwa nyuma kimaendeleo. Wanao ota ndoto hizi mara nyingi ni watu wenye malengo ya juu na bidii kubwa. Hawa mara nyingi huwindwa sana ili kuiba juhudi zao na mafanikio yao kichawi kwa sababu wanakitu cha maana.

Rudi katika mstari kiroho, omba Mungu, tubu, fanya maombi ya vita dhidi ya adui wa kiroho (lakini hakikisha upo safi kiroho na unafahamu vizuri mambo ya kiroho). Pigana kiroho kurudisha yaliyoibwa kichawi kutoka kwenye maisha yako.

Hakikisha unasali kila asubuhi, sala fupi tu dk 2, na pia kila siku kabla ya kulala sali na jikabidhi mikononi mwa Mungu. Wachawi hutumia sana usiku kuharibu yakupasa uweke ulinzi wa Mungu kwa njia ya maombi.
 
mzado

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
931
1,000

Shukrani kwa mtoa mada na wachangiaji wote, kipekee nikushukuru mdau kwa kushare hii hekima, kiukweli kunakitu kikubwasana nmejifunza mkuu,
Asante.
 
MCHEBETE

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
238
500
Nimewahi kuota ndoto kama hii karibia details zote muhimu zimefanana.

Naamini Mungu anajaribu kusema na wewe juu ya jambo ambalo litakuja kama funzo/fundisho kwako. Mathalani kuna ishu ambayo umetokea kuitafutia ufumbuzi kwa muda mrefu lakini imekuwa ikijirudia.

Ushauri: Ongeza ukaribu wako na Mungu atakufunulia nini unapaswa kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah nimeandika thread hii ni wiki sasa ila usiku wa kumakia jumanne ya tarehe 26 naota tena ndoto kama hiyo,tena nimeota kuna mshikaji wangu ambae tulikua o-level tunacompete kwenye masomo tumekutana tunajiandaa kufanya mtihani tena wa form six,nikamuuliza notes za complex nummber na differential kama anazo anisaidie mimi nimesahau.tatizo sijawahi ota hii ndoto labda nikaimaliza naishia kati tu kwenye kuhangaika kusoma ila sijawahi ota tuko kwenye exam .
mimi nafanya ibada najitahidi kutoa hata kile kidogo nilichonacho kama sadaka ,siwezi kusema niko vibaya sana nashukuru Mungu familia inaishi ,kupigwa vita na maadui ni jambo la kawaida hasa ukiwa kijana na ukaonekana una hiki na kile
 
MCHEBETE

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
238
500
Pole. Ila mara nyingi kitu kinachojisuria kina makusudi ndani yake, kimsingi ukiota uko darasa la nyuma ama uliloishia inamaanisha kuna level ambayo bado hujaivuka in spiritual realm, iko hivi mambo mengi huwa yanaanzia katika ulimwengu wa roho halafu yanakuja kuwa halisia katika maisha ya kawaida. Nsio maana hata wachawi wanamaliza maiaha ya watu katika ulimwengu wa roho halafu baadae yanakuja kuwa halisi katika maisha ya kawaida.
Sijajua imani yako katika Mungu imesimama wapi ila ukichunguza katika maisha ya kawaida kuna mambo/jambo lako ambalo halisogei au haliendelei. Au kuna jambo la maingi unalopaswa kulifanya ila huwezi kuliendeleza au unapata changamoto kulifanya then unakata tamaa.Sasa ukifanya utafiti kwenye eneo lolote la maisha yako utaelewa. Baada ya hapo fanya maombi ya toba Mungu akurehemu ikiwa ipo sababu ya wewe kupitia hali hiyo. Halafu mshukuru Mungu. Utanipa mrejesho

Nilichokueleza mimi niliexperience but mimi niliota nimerudia darasa la pili kutoka chuo. Ila niligundua kuna kosa nilimkosea Mungu ndio mana yakanikuta hayo na mambo yangu yalikua hovyo kabisa, ila niliomba Mungu anirehemu nikaacha kabia kurudia kosa hilo, nikaanza kuota eti nimeanza shule niko Advanced level from class two. Nikajua hata Mungu amenisamehe but as I go on naona level zinaendelea mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
ni week sasa nimeandika uzi ila ndoto hii inarudia tena ,inanipa wakati mgumu sana mkuu.usiku wa tarehe 25 naota tena ndoto hii ,mimi ni mtu wa imani sijui kwa mganga zaidi ya kutegemea Mungu
 
Flexi lady

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
281
250
ni week sasa nimeandika uzi ila ndoto hii inarudia tena ,inanipa wakati mgumu sana mkuu.usiku wa tarehe 25 naota tena ndoto hii ,mimi ni mtu wa imani sijui kwa mganga zaidi ya kutegemea Mungu
Unaishi wapi? Nilikua napenda nikukaribishe kanisani kwetu upate counseling.
NB:
Ila pia shetani anapitishaga vitu katika ndoto, kwa hiyo inabidi uwe makini hapo kuwa je ni vitisho tu vya ndoto au? Jambo lingine la kujiuliza, Je uhalisia wa maiaha yako ukoje? Unapata upinzani wapi? Una amani ya kutosha moyoni? Hakuna maagano mabaya uliyojiingiza ukaacha kuyatumikia? Je historia yako tangu utoto ikojeikoje maisha kiujumla na wazazi wako yalikuaje?? Baada ya hii research jibu laweza patikana. Utanipa feedback.Sent using Jamii Forums mobile app
 
MCHEBETE

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
238
500
Sawa kabisa; watu wengi sana wanaota ndoto hii. Hata hao rafiki zako ukiwauliza kwa undani kabisa watakuambia, walikuficha tu lakini ndoto hizi ni nyingi.

Maana ya ndoto hizi ni kukwama au kurudishwa nyuma kimaendeleo. Wanao ota ndoto hizi mara nyingi ni watu wenye malengo ya juu na bidii kubwa. Hawa mara nyingi huwindwa sana ili kuiba juhudi zao na mafanikio yao kichawi kwa sababu wanakitu cha maana.

Rudi katika mstari kiroho, omba Mungu, tubu, fanya maombi ya vita dhidi ya adui wa kiroho (lakini hakikisha upo safi kiroho na unafahamu vizuri mambo ya kiroho). Pigana kiroho kurudisha yaliyoibwa kichawi kutoka kwenye maisha yako.

Hakikisha unasali kila asubuhi, sala fupi tu dk 2, na pia kila siku kabla ya kulala sali na jikabidhi mikononi mwa Mungu. Wachawi hutumia sana usiku kuharibu yakupasa uweke ulinzi wa Mungu kwa njia ya maombi.
Nashukuru sana mkuu kuna kitu nimejifunza hakika nitavifanyia kazi
 
MCHEBETE

JF-Expert Member
Mar 4, 2016
238
500
Unaishi wapi? Nilikua napenda nikukaribishe kanisani kwetu upate counseling.
NB:
Ila pia shetani anapitishaga vitu katika ndoto, kwa hiyo inabidi uwe makini hapo kuwa je ni vitisho tu vya ndoto au? Jambo lingine la kujiuliza, Je uhalisia wa maiaha yako ukoje? Unapata upinzani wapi? Una amani ya kutosha moyoni? Hakuna maagano mabaya uliyojiingiza ukaacha kuyatumikia? Je historia yako tangu utoto ikojeikoje maisha kiujumla na wazazi wako yalikuaje?? Baada ya hii research jibu laweza patikana. Utanipa feedback.Sent using Jamii Forums mobile app
Naishi Dar,naishi maisha ya kawaida tu sina shida na mtu ,amani ya moyo ipo,nafanya ibada,sina maagano yoyote ,kwetu hakuna historia ya mambo hayo
kwa upande wa wazizi,nimekulia upande wa mzazi mmoja baada ya kutengana ,mwanzoni sikumpenda mzazi wangu wa kiume kutokana na mambo aliyofanya mwanzo.Ila yalikwisha tulisameheana nikipata kitu namjali kama mzazi
Ila kwa upande wa baba yangu huwa sio watu wazuri sana ,kama nilijitenga nao kutokana na tabia za kiswahili(nadhani umenipata)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom