Arusha leo imeshuhudia mvua iliyoambatana na barafu

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
Kwa mara ya kwanza tangu miaka mingi jiji la Arusha leo limeshuhudia mvua iliyoambatana na barafu. Nimekuwepo Arusha toka mwaka 2000, leo ni mara ya kwanza kushuhudia mvua iliyoambatana na barafu
Barafu Arusha.jpg
 
Ndio Maana kunasehem nilipita nikaona Viwango vya Joto Miji mbalimbali na Arusha was 16 Centigrade
 
Back
Top Bottom