Magodoro

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
hivi ubora wa magodoro ya comfy ukoje?? Vp kulinganisha na magodoro ya dodoma
 
Mkuu, la pamba sio zuri kama lile lililojazwa matambara. Kiwanda kiko pale msamvu roundabout ukielekea morogoro town. Zamani walikua wanaweka sufu, ilipokuja recycling wakawa wanajaza matambara. Ni gumu na linadumu maisha yote kama sio kikojozi
Mkuu tafuta godoro la pamba
 
mkuu mimi nakushauri pata godoro la vita foam but liwe orthopedic, specially made for strong back support, ni ligumu gumu kidogo, but its the best foe your sleep and ur mgongo, na lina dumu sana,,, remember - orthopedic
 
Okay mkuu... Thankx
 
Mkuu, la pamba sio zuri kama lile lililojazwa matambara. Kiwanda kiko pale msamvu roundabout ukielekea morogoro town. Zamani walikua wanaweka sufu, ilipokuja recycling wakawa wanajaza matambara. Ni gumu na linadumu maisha yote kama sio kikojozi

Mmh! Ukiwa kikojozi imekula kwako,lakini c bado yapo pale! Huwa nayaona nikipita pale
 
Mkuu, la pamba sio zuri kama lile lililojazwa matambara. Kiwanda kiko pale msamvu roundabout ukielekea morogoro town. Zamani walikua wanaweka sufu, ilipokuja recycling wakawa wanajaza matambara. Ni gumu na linadumu maisha yote kama sio kikojozi
Yaap,napafahamu,ukitoka kipita shoto cha msamvu kuelekea mjini hawa wataalam wapo kushoto kwa barabara.
 
hivi ubora wa magodoro ya comfy ukoje?? Vp kulinganisha na magodoro ya dodoma

Mkuu usije ukanunua hayo magodoro mimi mpaka leo najuta kila siku naumwa mgogo kwa sababu katikati ya godoro ni kama shimo unatumbukia wakati miguuni na kichwani kumeinuka. Hapa najipanga kununua tanfoam ambalo hata muuzaji aliyeniuzia alinishauri tangu mwanzo nikamkatalia kwa kufata mkumbo. Nimekoma
 
Nakuunga mkono tanfoam ni kiboko yao. Nimenunua ten years back lakini hadi hii leo bado ni jipya kabisaa pamoja nakuwa linakojolewa na mtoto wangu mdogo , I can tell hata huo mkojo haupenyi ndani ya hilo godoro. Kwa kifupi ni Bomba! Value for Money.
 
Mmeshachangia sana agenda ya godoro solution cjaiona hapa! Toeni bac obsavition fasta wengine 2na haraka 2nataka tu tujue ni godoro lipi nitapigia miti kw mda mrefu!
 
Godoro Lanini? Mimi Wakati Natumia Teremka Tukaze, yaani ni full kuenjoy.
 
Back
Top Bottom