Kila kifo huchangiwa na sababu Fulani, ni sawa na kufaham kuwa Fulani anaumwa Halafu ukaenda kumpiga, wewe ndio umeua

stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
873
1,000
Wakuuu mada inajieleza, tunaomba wale wooote waliochangia mpendwa wetu ruge kufariki watubu, mwaka mmoja na nusu nyuma tuliona baadhi Ya watu wakimwandama marehemu na kumdhalilisha na kupambana Nae wengne wakimkimbia na kwenda kuolewa, wengne wakimtukana na wengne wakitumia madaraka yao kutaka kumkwamisha biashara zake na hata kufikia hatua Ya kuxivamia na kumfanya Kijana wa watu kuwa na mawazo mengi na kupelekea kulazwa na hatmae kututoka, tunaomba watu hao wajitokeze hadharani waombe watanzania radhi, na wamuogope MUNGU kwa unafiki wa kumlilia RUGE maaana nia yao ilikuwa nimbaya Kwa luge Leo wasijifanye kuwa wanampenda Sana na kumlilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
2,653
2,000
Unaposema kutirokwa na kwenda kuolewa unamaanisha nini maana kama niivo yule dada aliondoka hata kabla hajaanza kuumwa na hiyo hutokea kwenye mahusiano kama hamjaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom