"Roho Finyango" Uchawi ambao vijana na wazee hata wa Mjini wanakuwa nao sana Dhidi ya Wanao/Waliofanikiwa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,604
2,000
Mzee wangu siku zote hunambia hakuna mwisho wa kujifunza. Na kujifunza hutoka kwa kila mtu kwa matendo yake mema au mabaya.

"Roho Finyango" huu ni uchawi ambao waswahili wengi tunao. Kuwaombea mabaya wanaofanikiwa au waliofanikiwa ili wote mbaki maskini. Ni roho mbaya zilizojaa sana uswahilini.

Unaweza ukafanya jambo la maendeleo wakaja hata jamaa zako kukupongeza lakini moyoni wanaumia sana. Usoni kama watu moyoni hawana utu. Utawasikia tu pembeni wakisema "kanunua kigari kidogo angekuwa na pesa angenunua benz au range... Eti gari,gari itakuwa Toyota IST. mimi bora nitembee kwa miguu tu nazichanga nije ninunue Range au Cruiser"

Kama umenunua gari yenye engine kubwa watasema tu " jamaaa wamempiga ile gari kanunua ni Jini, babaaake inakunywa mafuta haijapata kutokea akiwasha tu lita 4 imeshaenda hapo hajaendesha bado...mtu hajui magari atuulize sisi..."

Hizi ni roho finyango.zinakuwa na chuki ,husda na fitna.wengi wanazo na wakati mwingine wanaweza kukuchukia hata kwa sura yako,rangi yako,mwili wako,uongeaji wako,utembeaji wako, saut n.k ni roho za kichawi kabisa.

Vijana wengi wapo mjini kama wangelelewa tu na bibi zao basi wangekuwa wachawi kabisa wa kuruka na ungo.ila kwa mjini wanabaki na uchawi wa roho finyango.

Hawa wanaweza kuwa na maendeleo makubwa lakini wakakuchukia sababu wewe unaishi vizuri na mkeo na mtoto au watoto wako.hilo tu lina wauma....wanafanya fitna.

Kabisa kuna watu siku wakisikia huna kazi wanafanya sherehe... Basi tu wanafurahi wakiamini sasa utapoteza amani na kuishi vizuri na familia yako.huo ni uchawi wa roho finyango.

Kuna wale ambao hawawezi kukupatia msaada wakati unashida.hawa hata ukiwa umelazwa hosp watakuja kukusalimia ila si kwa nia ya kwamba upone.wanataka kuona umekonda kiasi gani utasikia " huyu jamaa hali yake tia maji tia maji kama si leo kesho"

Au "mshkaji kwa hali yake si wa kutoka leo au kesho hawa wa aina yake hukaa hospital mpaka wanapewa ubalozi wa ward" huku akitabasamu kufurahia.

Vijana wa sasa wanawachukia walioendelea. Huu ni uchawi wa Roho Finyango. Roho inakuwa imejikunja kunja hivi kama finyango ya nyama...haina tena ile shape yake ya upendo.

Ni uchawi mbaya sana ambao madhara yake yapo hata kwa mchawi mwenyewe. Yaani mwenye roho finyango.naye huwa anapokuombea mabaya halafu akaona wewe bado umetulia tu anaumia sana.au akakuta unapata marafiki wema unaendelea kusimama anaumia sana.

Vijana mjini ndo tunaongoza kukwamishana kwa mashindano yasiyo na tija. Huwa nasema kama kuna jambo ambalo tungepaswa kushindania basi liwe ni Upendo.

TUSHINDANE KUONESHA UPENDO NA SI CHUKI.
 
theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,789
2,000
Aisee umegusa penyewe, halafu ukiangalia kwa makini hawa jamaa wenye roho finyango huwa hawaendelei hata kama wako katika position nzuri...
 
bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,330

Great Gudume again..! Matured mind asante sana brother...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
6,726

100% sure mimi sometimes naonaga bora kampani yako iwe ya watu wazima au hata wazee.Yaani siku hizi vijana wamekuwa na roho mbayaaaaaaaaa sana na ndio maana hata Mungu anashindwa kutubaliki ,roho zetu hazina upendo kabisa zimejaa chuki,hasira,wivu,husda,fitina so Mungu hawezi kukaa katika roho yenye vitu hivyo.

Sometimes unaweza fanikiwa tu kwa kujiweka karibu na kujifunza mbinu kwa mtu aliyefanikiwa na ukatoboa ila sisi bwana mtu akipata mara hoo freemason,kamtoa kafala mzazi wake,mwizi yule nk na ndio maana kuna vijana wamejazana vijiweni ,sababu wanakaa wao kwa wao vijiweni na roho mbaya zao hamna hata mmoja anayeweza kumpa mchongo mwenzake ,wote wanaishia kulalamika na kuponda wenzao walio fanikiwa.
 
Adrianinho

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
429
1,000
Mzee wangu siku zote hunambia hakuna mwisho wa kujifunza. Na kujifunza hutoka kwa kila mtu kwa matendo yake mema au mabaya.

"Roho Finyango" huu ni uchawi ambao waswahili wengi tunao. Kuwaombea mabaya wanaofanikiwa au waliofanikiwa ili wote mbaki maskini. Ni roho mbaya zilizojaa sana uswahilini.

Unaweza ukafanya jambo la maendeleo wakaja hata jamaa zako kukupongeza lakini moyoni wanaumia sana. Usoni kama watu moyoni hawana utu. Utawasikia tu pembeni wakisema "kanunua kigari kidogo angekuwa na pesa angenunua benz au range... Eti gari,gari itakuwa Toyota IST. mimi bora nitembee kwa miguu tu nazichanga nije ninunue Range au Cruiser"

Kama umenunua gari yenye engine kubwa watasema tu " jamaaa wamempiga ile gari kanunua ni Jini, babaaake inakunywa mafuta haijapata kutokea akiwasha tu lita 4 imeshaenda hapo hajaendesha bado...mtu hajui magari atuulize sisi..."

Hizi ni roho finyango.zinakuwa na chuki ,husda na fitna.wengi wanazo na wakati mwingine wanaweza kukuchukia hata kwa sura yako,rangi yako,mwili wako,uongeaji wako,utembeaji wako, saut n.k ni roho za kichawi kabisa.

Vijana wengi wapo mjini kama wangelelewa tu na bibi zao basi wangekuwa wachawi kabisa wa kuruka na ungo.ila kwa mjini wanabaki na uchawi wa roho finyango.

Hawa wanaweza kuwa na maendeleo makubwa lakini wakakuchukia sababu wewe unaishi vizuri na mkeo na mtoto au watoto wako.hilo tu lina wauma....wanafanya fitna.

Kabisa kuna watu siku wakisikia huna kazi wanafanya sherehe... Basi tu wanafurahi wakiamini sasa utapoteza amani na kuishi vizuri na familia yako.huo ni uchawi wa roho finyango.

Kuna wale ambao hawawezi kukupatia msaada wakati unashida.hawa hata ukiwa umelazwa hosp watakuja kukusalimia ila si kwa nia ya kwamba upone.wanataka kuona umekonda kiasi gani utasikia " huyu jamaa hali yake tia maji tia maji kama si leo kesho"

Au "mshkaji kwa hali yake si wa kutoka leo au kesho hawa wa aina yake hukaa hospital mpaka wanapewa ubalozi wa ward" huku akitabasamu kufurahia.

Vijana wa sasa wanawachukia walioendelea. Huu ni uchawi wa Roho Finyango. Roho inakuwa imejikunja kunja hivi kama finyango ya nyama...haina tena ile shape yake ya upendo.

Ni uchawi mbaya sana ambao madhara yake yapo hata kwa mchawi mwenyewe. Yaani mwenye roho finyango.naye huwa anapokuombea mabaya halafu akaona wewe bado umetulia tu anaumia sana.au akakuta unapata marafiki wema unaendelea kusimama anaumia sana.

Vijana mjini ndo tunaongoza kukwamishana kwa mashindano yasiyo na tija. Huwa nasema kama kuna jambo ambalo tungepaswa kushindania basi liwe ni Upendo.

TUSHINDANE KUONESHA UPENDO NA SI CHUKI.
Wapo wengi sana hapa JF.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom