Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELELEO-CHADEMA WILAYA YA ROMBO. Tunapenda kuwataarifu viongozi, wanachama wa Chadema na Wananchi wote wa jimbo la Rombo na maeneo mengine kuwa, Mh. Mbunge wetu wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Serikali kupitia Wizara ya Madini inakamilisha taratibu za utoaji wa Leseni kwa Migodi Mikubwa ambazo hazijawahi kutolewa nchini, huku migodi hiyo ikitarajiwa kuanzishwa hivi karibuni. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa mtu wa kukata tamaa kabisa sielewi kwanini?Najaribu kuiepuka hali hii Kwa kujiweka busy na pengine kuangalia movie na mpira lakini hainiishi.Sijui nifanye nini?
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Tumeona wasanii wengi sana ili wafanikiwe wamekuwa wakifanya manbo ambayo yahakubaliki katika jamii (jamii ambayo haijapotoka). Si ajabu kumuona mwanamziki au msanii wa kiume akiwa amevaa nguo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Kadri miaka inavyozidi kwenda kuna watu nawafananisha kama vile ndugu wa damu ama wametoka ukoo mmoja. Mwigizaji nguli wa siku nyingi Muhogo Mchungu na Dk. Hamis Kigwangalla...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
watanzania ni WANAFIKI SANA.MPAKA TUNAOGOPESHA. baada ya Ruge kufa kila mtu atamsifia na kujifanya walikuwa karibu n.k lakini n watu hawa hawa ambao walikuwa wakimsema kuwa ni mnyonyaji n k...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam, Kuna faida lukuki za mtu kuzaliwa na kuishi nchi zilizoendelea sio zinazoendelea. Ni muhimu sana kufahamu kuwa utofauti huo sio wa bahati mbaya, yapo mambo yanayo changia kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
EU 'blue card' to tempt skilled There are fears the plan could lead to a brain drain from poorer nations The European Commission is set to unveil a Blue Card for skilled immigrants, based...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
KARIBU asilimia 80 ya wananchi waishio Tanzania Bara hawasajiliwa wala kuwa na vyeti vya kuzaliwa, huku wale waliosajiliwa na kuwa na vyeti hivyo wakiwa ni asilimia 13.4. Hayo yalibainishwa juzi...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake. Sent...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Hahaha jiji la makonda ina Raha zake kipindi nipo kijijini nilikuwa siitwi boss/mkuu siku hizi boss kwenda mbele ,waliosahau jina langu na kunibatiza uboss ni hawa wadau wangu wanguvu 1.Mateja...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilidhani labda ilikuwa ni bahati mbaya tu ila kumbe nimegundua ni desturi yao / mchezo wao wa kawaida ambapo nimekuwa nikishuhudia Wanajeshi wengi hasa wa Vyeo vya kawaida tu ( Non Commissioned )...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Kila mtu sasa kaguswa na kifo kuliko matatizo ya ruge akiwa hai! Sina maana kwamba tumtafte mchawi lakini ukweli ni kwamba kabla ya kifo cha Ruge kulikuwa na maisha, ni vyema sasa tukajikita sasa...
29 Reactions
55 Replies
11K Views
Hii ni kwa marehemu wote na marehemu watarajiwa. Mambo ya kumpangia Mungu eti mlaze mahali pema peponi hiyo sio kazi yako ni Mungu pekee ajuaye nani wa kumlaza pema peponi na nani wa motoni! Hivyo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hasa wakurya wameanza tabia za kigoma Walimu wamelalamika sana kulogwa na kina mwita, chacha na marwa, hebu sikia, yan.mchawi anakula mpaka samaki ndani ya Nyumba za watu, Mke wa mkuu wa shule...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Salam wandg? Kunajamaa jirani kaibiwa decoder ya Startime ya Dishi na vitu vingne! Je hakuna uwezekano wa ku truck kujua mtumiaji decoder mahali alipo endapo anaitumia? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Kwema wadau? Nimepitia baadhi ya post na comment za wadau humu ndani zimenishangaza sana! Nimeona ni vyema nitoe la moyoni. Katika hali ya kawaida mtu akikukosea mnatakiwa msuruhishe ili mengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesho Jumanne tarehe 14 November 2017 kuanzia asubuhi ya Saa 12 hadi Saa 4 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba anategemewa kuzungumza na Watanzania na Wadau wa...
3 Reactions
71 Replies
10K Views
Ni siku nyingine Tena, Tunamshukuru Mungu! Poleni Wafiwa wote. Hivi Ulishawahi kujiuliza kwanini Watu /Mtu anaamua kuwa Muuwaji? Kwa Leo Hebu tuangalie sababu mbili au tatu hivi zitatosha. Kisha...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom