Maroo Advocaat na Pastor waendelea kumtishia mjane

Maroo Advocaat na Pastor waendelea kumtishia mjane

sisya

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
263
Reaction score
96
Advocaat Maroo na Pastor wameendelea kumtishia mjane mama Juliana Kahangi. Asaini mikataba iliyondaliwa na Maroo Advocaat na pesa atakazo lipwa mjane huyo zipitie kwenye account ya PASTOR pamoja na dalali Gody anayetumiwa na Bajuta muda huu ninavyoandika nipo kwenye nyumba hii ya merehemu Christopher Kahangi jirani na ofisini kwa Maroo.Maroo Advocaat amepokea account 3 za kulipia ikiwamo account yake,bila kushirikisha mama mjane wala watoto wake wa 3 akiwamo mmoja aliyepo America.

Wamemtumia mtoto mmoja ambaye anaishi na mwanamke aliyezaa na mchungaji huyo watoto wawili.Mchungaji amejigeuza msemaji wa familia hii ya Kahangi.

Muda huu maroo Advocaat amemtuma PASTOR Vikindu Dar akamtishie mama Juliana Kahangi achague moja kusaini hiyo mikataba au amshitaki, kwa kumchafua JamiiForums amlipe mamilioni.

Familia imegoma nyumba haiuzwi, Maroo rudisha hati ya watu hii sio familia ya marehemu Yese nenda mahakamani kama ni uongo.

Pia soma >Wakili maarufu Arusha ashirikiana na Mchungaji kumtapeli mjane - JamiiForums
 
Huyu Maroo Dawa Yake Ni Kumpa Kesi Ya Uhujumu Uchumi Amuulize Mwale Kilichomtokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom