Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Mwanafunzi hao wa shule ya msingi Diovuva wamelazimika kusoma kwa kupokezana
Wapo wanaoingia shuleni hapo asubuhi na wengine wanaingia mchana hali ambayo si rafiki kwa ufundishaji
Shule hiyo kwa sasa ina vyumba vya madarasa 7 huku uhaba ukiwa ni wa vyumba 6 ili vitimie 13 vinavyohitajika
-ITV