Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha ngozi Africa

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Kiwanda kikubwa Africa cha bidhaa za ngozi kujengwa Tanzania ambapo kutakua na zaidi ya viwanda 6 ndani yake.

Ikumbukwe Tanzania ni ya pili Africa kwa wingi wa mifugo na ni moja ya wazasambazaji wakubwa wa ngozi ghafi

Kitatengeneza (in millions) / year (with modern technology)

Soles
Shoes
Hand bags
Car seat covers
Leather sofa covers
Belts
Finished & semi finished leather
Leather jackets
Leather gloves
Leather capes
Pistol case etc

Mkataba huu umesainiwa kati ya jeshi na magereza nchini wakiwa pamoja na PSSSF social security fund na jumla ya makampuni matatu yaliyobobea katika technologies za machines za ngozi na Soles za viatu kutoka Italia yatakayotemgeneza mitambo ya viwanda hivyo na kusimamia ujenzi wa viwanda hivyo vitakavyogharimu zaidi ya billion 60 na kukamilika ndani ya miezi 13 kuanzia siku ya kusign mkataba.

Kukamilika kwa viwanda hivi kunategemea kutoa ajira za moja kwa moja zaidi ya 3,000 na kuingiza jumla ya faida ya shilling billion 300 kwa mwaka huku 40% ya ngozi na bidhaa za viwanda hivi zikiuzwa nje ya Tanzania.

Tanzania ya viwanda
JPM mwendo mdundo.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
MMG_4840.jpg
MMG_4626.jpg
MMG_4701.jpg
MMG_4803.jpg

Tanzania ya viwanda
Viva Tanzania
Viva JPM
 
Tuna

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
606
1,000
Mtaliano tena na ngozi kweli upele umempata mwenye kucha,tusubirie misakan dodo ya ajabu.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,951
2,000
Hizi ni habari nzuri sana. Ethiopia wanatengeneza bidhaa nzuri sana za ngozi na wala hawakidhi soko la Afrika.
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,123
2,000
Tunataka uhuru wa kumtukana Rais.
Tunataka maandamano.
Tunataka maendeleo ya watu.
Tunataka uhuru wa kuvunja sheria.
chadema SOMA HIYO.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Jambo zuri sana; Mungu alitangulie lisiishie juu kwa juu kama mengine
Hakika hakuna kurudi nyuma kwenye hili ndugu, Ikumbukwe hii ni phase ii ya mradi huu mkubwa, phase I ilikua kukiboresha zaidi kilichokua kwa kuweka mitambo mikubwa ya kisasa ambapo ilikamilika last year
PIX-3-8-1024x678.jpg
PIX-2-5-1024x678.jpg
PIX-5-1-1024x678.jpg
PIX-6-1-1024x678.jpg

Hapa ni eneo la viwanda vipya zaidi ya ekari 50

Sasa hii phase ii ndio funga kazi sababu ndio kubwa kuliko.
 
Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,514
2,000
Kiwanda kikubwa Africa cha bidhaa za ngozi kujengwa Tanzania ambapo kutakua na zaidi ya viwanda 6 ndani yake.

Ikumbukwe Tanzania ni ya pili Africa kwa wingi wa mifugo na ni moja ya wazasambazaji wakubwa wa ngozi ghafi

Kitatengeneza (in millions) / year (with modern technology)

Soles
Shoes
Hand bags
Car seat covers
Leather sofa covers
Belts
Finished & semi finished leather
Leather jackets
Leather gloves
Leather capes
Pistol case etc

Mkataba huu umesainiwa kati ya jeshi na magereza nchini wakiwa pamoja na PSSSF social security fund na jumla ya makampuni matatu yaliyobobea katika technologies za machines za ngozi na Soles za viatu kutoka Italia yatakayotemgeneza mitambo ya viwanda hivyo na kusimamia ujenzi wa viwanda hivyo vitakavyogharimu zaidi ya billion 60 na kukamilika ndani ya miezi 13 kuanzia siku ya kusign mkataba.

Kukamilika kwa viwanda hivi kunategemea kutoa ajira za moja kwa moja zaidi ya 3,000 na kuingiza jumla ya faida ya shilling billion 300 kwa mwaka huku 40% ya ngozi na bidhaa za viwanda hivi zikiuzwa nje ya Tanzania.

Tanzania ya viwanda
JPM mwendo mdundo.
Hii habari ni ya lini ? Naona tweet ni ya Feb 8.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muyovozi

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
380
1,000
Ni hatua kubwa kikikamilika. lengo la mheshimiwa rais hapo ni full support. Takwimu zinaonyesha kuwa Kyle Misri mifuko ya jamii inachangia asilimia 29 ya pato la taifa na hii ni kwa sababu mifuko inawekeza katika viwanda. Pia China wafungwa wanafanya Kazi katika viwanda mpaka Marekani akalalamika eti bidhaa za China ni rahisi kwa gharama ya labour ni free. Huo ni ubunifu mzuri ambayo wafunga wetu wapewe mazingira ya kibinadamu , sio ukatili wa kuwalimisha na jembe LA mkono toka usiku wa SAA nane mchana kutwa halafu mazao wanagawana askari na bado inaonekana hawazalishi kitu. Intelligence haimtonyi siri zilizojificha kwenye Taasisi jinsi dhuluma zinavyofanyika ? Pia na majeshi ya misri yanaendesha kandarasi kubwa za kuzalisha kiuchumi , sio kwata peke yake na kuvunja tofali vifuani, kupoteza tu nguvu Kazi. Hapo tumeanza viwanda kweli. Hata Stiegler na SGR tunaweza ahirisha maana hazina immediate economic benefits kama viwanda vya kuzalisha consumable goods tunazohitaji mno. Point of information capacity ya Ethiopia ni 4 bln US $ .kwa hiyo chetu hakitakuwa kiwanda kikubwa kuliko vyote Afrika .Kabla ya kutamka kuwa kitu chetu Fulani ni kikubwa kupta vyote Afrika tuwe tunafanya utafiti kwanza kabla. Serikali ameanza Kazi ya viwanda leo mengine ilikuwa ni siasa tu.

a

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom