Nataka kusafiri na Air Tanzania kutoka Arusha kwenda Mwanza, kumbe hakunaga hii route

Jul 23, 2018
41
30
Nimemaliza maandalizi yangu nikiwa na siku kama nne kabla ya tarehe ya kuondoka arusha kwenda mwanza, naingia mtandaoni kufanya booking natafuta hii route siioni napiga simu naambiwa lazima neende KIA.
Kwa wenye uelewa wa hii route naomba mnisaidie kwani siamini nachoona mbele yangu kwamba hii route huwa haipo.
 
KLM to Mwanza ipo....Arusha ni uwanja mdogo....hata abiria ni kidogo. Precision wa ndege hapo unaweza kuulizia
 
Uwanja wa Kisongo ni Mdogo kutua ndege kubwa
Simple

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Bomba mapenzi ina tofauti gani na Atr ambazo zinatua kisongo? Tatizo wanalijua wenyewe Atcl
 
Back
Top Bottom