Makonda amkubali Ruge Mutahaba, asema alienda kumfanyia maombi nyumbani kwake na atangaza kushiriki Tigo Fiesta!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India.

Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda naye alienda nyumbani kwa Ruge kumfanyia maombi.

Mkuu wa mkoa Paul Makonda ametangaza rasmi kushiriki tamasha la Tigo Fiesta pale Leaders club jumamosi.

Source Clouds 360!
 
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India. Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda naye alienda nyumbani kwa Ruge kumfanyia maombi. Mkuu wa mkoa Paul Makonda ametangaza rasmi kushiriki tamasha la Tigo Fiesta pale Leaders club jumamosi.
Source Clouds 360!

Dhambi ya vyeti na jina bandia ametubi wapi
 
Mbona Siku alipoenda kumtembelea haku post tuone pic...au alienda kwa Ruge-malira... Tuseme wanajiipendekeza awatoe kwny list ya konki konki master.
 
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India. Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda naye alienda nyumbani kwa Ruge kumfanyia maombi. Mkuu wa mkoa Paul Makonda ametangaza rasmi kushiriki tamasha la Tigo Fiesta pale Leaders club jumamosi.
Source Clouds 360!
Kitaalam hapo kakili kuwa yeye ndiye alievamia ofisi za Clouds.
 
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India. Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda naye alienda nyumbani kwa Ruge kumfanyia maombi. Mkuu wa mkoa Paul Makonda ametangaza rasmi kushiriki tamasha la Tigo Fiesta pale Leaders club jumamosi.
Source Clouds 360!
Kumfanyia maombi
 
Back
Top Bottom