Living life of purpose...

Living life of purpose...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

katika Watu walioacha 'Mark' dunia hii...

ni watu waliojitolea kwenye Maisha yao kusaidia wengine katika jamii..

Katika matajiri,proffessionals ama watu wa kawaida..hakuna jina litabaki kwa watu kama jina la mtu aliyejitolea..

hio ni kawaida,

Je, are you not inspired with the life of these people?

kuwa inspired does it mean you are 'called'??? LOL

NIngependa mchukue dakika mbili, ku explore/ponder je jamii inayokuzunguka inahitaji msaada wako wapi??

Pia,what I have learned not all the riches of this world can make you happy,

wengi wanaojitolea hufa maskini,

But to them this life of kujitolea is more meaningful more than anything else.

when time is no more, they are satisfied that they have accomplished their work in this earth...

Mada yangu inaweza isieleweke unless uko 'called' 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀..kwa kifupi nina ka bottle kangu ka Lambrusco-weekend ndio hii…...lol
 
Me namalizia K vant,
Mada yako ntaipitia kesho maana siielew

Sent Using Kitochi
 
Acheni hizo mnatumiaaa tyuu wenzenu tuna mlo mmoja,MUWE MNAJITOLEAAA!!!
 
Back
Top Bottom