Naomba kuweka mambo sawa: Mwl Nyerere bado hajatangazwa kuwa ni mwenye heri (blessed)

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Wana bodi na wakatolili wote pia waumini wote wa kanisa katoliki la Roma, maumini mwenzetu Julius Nyerere bado hajatangazwa ni mwenye heri, tuwasaidie wenzetu upande wa pili utaratibu wa mtu kutangazwa ni mwenye heri na hatimae mtakatifu.

Kinachoendelea ni mchakato ambao ulianzwa na askofu Justine Samba wa kanisa kuu la jimbo la Msoma,mchakato huo kupokelewa na jimbo kuu la Dar-es-Saalam na kuendelea hadi VATICAN city ROMA makao makuu ya Papa.

Pale kuna chombo maalum kinachoshughulikia masuala haya . Kinachosubiliwa ni miujuza aliyotenda mhusika (Julius) katika kipindi cha uhai wake, miujiza hiyo inatakiwa kupelekwa ngazi ya famila, jumuia ndogondogo, vigango, parokia , jimbo, jimbo kuu hadi makao makuu ya papa sehemu hizo zote zijilizishe na muujiza huo na hatimea kile chombo kiukubali ndipo hapo mhusika anaweza kutangazwa ni mwenye heri.
Mpaka sasa muumini mwenzetu Julius miujiza iliyopelekwa imekataliwa haijakidhi vigezo, hivyo tuendelee kusubiri.
Narudia muumini Julius bada hajawa ni mwenye heri.
 
Kuwatesa walopigania uhuru kwa kuwafunga. Kumfunga bibi titi kisa kutetea uislam.
Kifo cha sokoine alafu bado mwataka mpa mtu mwenye heri>mtatifu. Sijui kwanini hizi dini za angaliaga umarufu wa mtu na si matendo halisi.
Wapo hata watu hudiriki bila yeye uhuru tusingepata ila kwa nafsi yangu naamini wangekuwepo wa kuupatia uhuru bila yeye
 
Mambo mengine bana..! Ana heri kwa lipi hasa? Kutimiza wajibu aliopewa na nchi pamoja mapungufu yake?
 
MTANGAZENI TU, LAKINI SINA HATA CHEMBE YA SHAKA HUKO ALIPO ANAANGAMIA.
 
Back
Top Bottom