Lindi: Mkuu wa wilaya ya Newala Aziza Mangosongo, amepata ajali baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Bi Aziza Mangosongo amepata ajali usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2019 baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa mkoani Lindi akitokea Newala.

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Bw. Shaibu Ndemanga, amemtembelea kumjulia hali katika hospitali ya rufaa ya Sokoine Lindi, ambako amelazwa huku taratibu za kumhamisha DC Mangosongo na wenzake watatu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi zikiendelea.
FB_IMG_1551604995755.jpeg
FB_IMG_1551605085617.jpeg
 
Kwa mujibu wa kamanda Muslim hawa barabarani zao wanaruhusiwa mwendo kasi usio na ukomo isipokuwa kwenye 50km/h.

Hii haipo duniani kote isipokuwa Tanzania peke yake.

Kwa umbumbu wa wasimamia sheria kama hawa, ni suala la muda tu STL, STJ, PT, SU nk, zingine ziko uelekeo huo huo wa ajali. Mbaya zaidi tunawekwa rehani watumia barabara wengine tusiokuwemo katika umbumbu wa maamuzi kama huu.

Stay tuned.
 
Kwa mujibu wa kamanda Muslim hawa barabara ni zao wanaruhusiwa mwendo kasi usio na ukomo isipokuwa kwenye 50km/h.

Magari STK, STL yanaongoza kwa mwendo kasi..!
 
"Siyo kila ajali husababishwa kwa mwendokasi"
Kwa mujibu wa kamanda Muslim hawa barabara ni zao wanaruhusiwa mwendo kasi usio na ukomo isipokuwa kwenye 50km/h.

Hii haipo duniani kote isipokuwa Tanzania peke yake.

Kwa umbumbu wa wasimamia sheria kama hawa, ni suala la muda tu STL, STJ, PT, SU nk, zingine ziko uelekeo huo huo wa ajali. Mbaya zaidi tunawekwa rehani watumia barabara wengine tusiokuwemo katika umbumbu wa maamuzi kama huu.

Stay tuned.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi wanasema madereva Class VII walibadilishwa na Form IV; hao Form IV wanajua vizuri matumizi ya speed kwa kuwa wanajua Kiingereza na ajali ndio ufanisi wa elimu yao ya Form IV
 
Kwa mujibu wa kamanda Muslim hawa barabara ni zao wanaruhusiwa mwendo kasi usio na ukomo isipokuwa kwenye 50km/h.

Hii haipo duniani kote isipokuwa Tanzania peke yake.

Kwa umbumbu wa wasimamia sheria kama hawa, ni suala la muda tu STL, STJ, PT, SU nk, zingine ziko uelekeo huo huo wa ajali. Mbaya zaidi tunawekwa rehani watumia barabara wengine tusiokuwemo katika umbumbu wa maamuzi kama huu.

Stay tuned.
Kwani kuna mahali sheria inakataza kuendesha zaidi ya 50 pasipo na kibao mkuu?
 
Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Bi Aziza Mangosongo amepata ajali usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2019 baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa mkoani Lindi.

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Bw. Shaibu Ndemanga, amemtembelea kumjulia hali katika hospitali ya rufaa ya Sokoine Lindi, ambako amelazwa huku taratibu za kumhamisha DC Mangosongo na wenzake watatu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi zikiendelea.View attachment 1036794View attachment 1036795

Huyu Aziza mbona amekaa kifua wazi mbele ya wanaume aisee. Afanaaalek.
 
Ladha ungeongeza kuwa ajali nyingi zinasababishwa na miundo mbinu ya barabara..(Yaani si rafiki)
hakuna gari inayozuiwa kutembea mwendo kasi,tatizo tulilonalo tanzania ni barabara kuwa mbovu.
 
Kwa mujibu wa kamanda Muslim hawa barabara ni zao wanaruhusiwa mwendo kasi usio na ukomo isipokuwa kwenye 50km/h.

Hii haipo duniani kote isipokuwa Tanzania peke yake.

Kwa umbumbu wa wasimamia sheria kama hawa, ni suala la muda tu STL, STJ, PT, SU nk, zingine ziko uelekeo huo huo wa ajali. Mbaya zaidi tunawekwa rehani watumia barabara wengine tusiokuwemo katika umbumbu wa maamuzi kama huu.

Stay tuned.

Kwa kweli inasikitisha sana !
Mimi nilibishana na boss mmoja mtumishi wa umma,
Alisema kuwa magari ya serikali hayajapangiwa ukomo wa mwendo kwa mujibu wa sheria,
Anasema ile sheria ya usalama ya mwendo kuwa maximum ya 80 KPH ni kwa mabasi na malori ya mizigo tu,
Akasema magari ya umma hiyo sheria haiwahusu isipokuwa swala la 50 KPH tu kwenye maeneo maalum yaliooneshwa!

Nilibishana nae lakini kumbe inaonesha ni kweli?!

Kamanda Muslim inabidi aliangalie hili na wenzie, hili lina ukakasi mkubwa!

Sasa logic iko wapi hapo?Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom