Mama pinga pinga

Mama pinga pinga

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
3,503
Reaction score
2,870
Mama pinga, Kazaa watoto 7 wote wanaitwa Pinga. Kumbe Sasa anatambulika kama Mama pinga pinga. Akijamba na kutoa harufu atapinga. Hata kama kibaologia tunajua mtu lazima aende haja Kubwa ( ugumu, ulaini, Muda Sio hoja) lakini akisema JEipm wananchi twende haja. Mama Pinga pinga atapinga. Mama pinga pinga hajui siasa, hajui lolote anajua kupinga. JEipm akitaja Jina La Baba yake atapinga. Ana hoja dhaifu sana ila hunakishiwa na matusi, hoja za Kuattack personalities. Mama pinga pinga anajulikana kwa kuasisi Demokrasia ya maneno na matendo kuichia Title ya Jina La Chama . It’s a pity. Mama pinga pinga Sio askari makini ambaye kawaida atakiwa kukubali akishindwa ili imsaidie Sio tu kujipanga bali kujitambua kuwa Yeye ni mwanadamu. Mama pinga pinga hajui LOGIC. Analosema hata La kutunga humfanya ajiskie mahindo kama ule WA sita kwa tano. Mama Pinga pinga anaamini wazungu wanatupenda sana. Ni Hodari wa kutetea ujinga na maslahi yake. Yeye 57 Mill. Tznians are nothing as long as JPM ananyimwa misaada. Eti JPM . Ambaye mshahara wake upo tu. Kivumbi kitakuwa kwetu. Sababu eti uhuru WA kujieleza. Sijui upi mana matusi yote tunayaskia. Kashfa, dharau lakini Anataka uhuru wa kujieleza. Mara ya mwisho kuona mkutano Wa hadhara, ni pale mama pinga pinga alipopata nafasi ya kutukana, Sasa sijui unaanzaji kupanga Maendeleo kama wananchi wanakaaa kuambiwa wapinge. Mama pinga pinga uwingi Wa wapiga kelele Sio nguvu ya hoja. Kubaliana kwa kukataliana.
 
Katika kupinga kwake amemkataza mtu kusifia?Wewe sifia ukiwa umeziba masikio. Wako wapi kina jeipiiem waliokuwa wanasifia wakati wa jeikei wakati mama pinga pinga akipinga?
 
Mama pinga, Kazaa watoto 7 wote wanaitwa Pinga. Kumbe Sasa anatambulika kama Mama pinga pinga. Akijamba na kutoa harufu atapinga. Hata kama kibaologia tunajua mtu lazima aende haja Kubwa ( ugumu, ulaini, Muda Sio hoja) lakini akisema JEipm wananchi twende haja. Mama Pinga pinga atapinga. Mama pinga pinga hajui siasa, hajui lolote anajua kupinga. JEipm akitaja Jina La Baba yake atapinga. Ana hoja dhaifu sana ila hunakishiwa na matusi, hoja za Kuattack personalities. Mama pinga pinga anajulikana kwa kuasisi Demokrasia ya maneno na matendo kuichia Title ya Jina La Chama . It’s a pity. Mama pinga pinga Sio askari makini ambaye kawaida atakiwa kukubali akishindwa ili imsaidie Sio tu kujipanga bali kujitambua kuwa Yeye ni mwanadamu. Mama pinga pinga hajui LOGIC. Analosema hata La kutunga humfanya ajiskie mahindo kama ule WA sita kwa tano. Mama Pinga pinga anaamini wazungu wanatupenda sana. Ni Hodari wa kutetea ujinga na maslahi yake. Yeye 57 Mill. Tznians are nothing as long as JPM ananyimwa misaada. Eti JPM . Ambaye mshahara wake upo tu. Kivumbi kitakuwa kwetu. Sababu eti uhuru WA kujieleza. Sijui upi mana matusi yote tunayaskia. Kashfa, dharau lakini Anataka uhuru wa kujieleza. Mara ya mwisho kuona mkutano Wa hadhara, ni pale mama pinga pinga alipopata nafasi ya kutukana, Sasa sijui unaanzaji kupanga Maendeleo kama wananchi wanakaaa kuambiwa wapinge. Mama pinga pinga uwingi Wa wapiga kelele Sio nguvu ya hoja. Kubaliana kwa kukataliana.
sawa dada
 
Back
Top Bottom