Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka tuliambiwa JK hasingepewa kugombea urais kwa sababu ni Kijana. lkn alikuwa na miaka 45. Obama tulimuita kijana alikuwa na miaka karibu 50. Hayati Ruge miaka 49 tunamuita kijana. wakina...
4 Reactions
77 Replies
18K Views
Leo asubuhi kulikuwa na radi Kali ikiambatana na manyunyu ya mvua . Mwanafunzi1 wa mikindani sekondari iliyopo Mt mjini eneo la mikindani amefariki,pia wanafunzi wengine zaidi wamezimia. Nitatoe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kati ya sentesi hizi mbili ipi ni sahihi ukimaanisha kuwa hakuna mtu mwengine zaidi yako? 1.nipo mwenyewe. 2.nipo peke yangu Bytheway,napenda kuzungumza kiengereza kwa ajili ya practice ingawa...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Siku ya jana daladala ziligoma hapa Mbeya na baadhi ya makonda na madereva wakileta vurugu kwa baadhi ya magari yaliotaka kubeba abiria na sababu ni kwamba hawataki bajaji zipite njia kuu. Hii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Hakuna asiye yajua maumivu ya bili kubwa ya umeme iwe masikini ama tajiri. Katika makala hii nitazungumzia namna ambavyo unaweza kupunguza bill kubwa ya umeme katika makazi...
13 Reactions
86 Replies
43K Views
Nikipata Mume tukapata mtoto tutamshawishi mtoto aitwe Ruge Imenigusa kuona nilikuwa simjui vizuri, kawasaidia akina mama wengi sana kwenye mitaji kupitia mpango wa FRT Kawasomesha watoto wa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
kiukweli shirika la MAXMALIPO linatakiwa lijitasimini kwa namna linavyoendesha biashara yake, Sisi mawakala tumejitaidi Sana kutumia nguvu na akiri nyingi kulijenga soko, lakini kampuni ya...
0 Reactions
3 Replies
561 Views
Hivi kweli uongozi wa jiji la Arusha umeshindwa kujenga stendi ya kisasa ya daladala??? Ni aibu mji huu wa kimataifa kuwa na stendi ya mavumbi katikati ya jiji. Arusha kuna mashirika ya kimataifa...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza sielewi kwa nini haswa mliamua kubadirisha mfumo wa awali, huu hauna kipya cha maana mlichoongeza zaidi ya kutuletea tabu wateja. 1. Mtu yuko nje ya nchi, anataka kufanya miamala online...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi kati nilienda Kijiji flani mkoani morogoro nilichokikuta kilinishangaza sana, Kilichonishangaza zaidi ni hii bei ya Mayai , Kwao ilikuwa vise versa Na huku mjini , Yai la kienyeji lile...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa kweli leo nimefadhaika sana..nimetuma pesa kutoka nmb mobile kwenda mpesa jana usiku cha kushangaza mpaka hivi sasa haijafika kwenye mpesa yangu na kwenye akaunti ya nmb pesa imepungua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HABARI za hivi pundi zilizoifikia Pemba today, zinaeleza kuwa Meli mpya ya Sea star imepata hitilafu, ikielezwa kutokea mripuko mdogo kwenye moja ya mashine zake na kusababisha abiri abiria wote...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
WATU watatu wanaodaiwa kujihusisha na wizi wa mitandaoni wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Tabora wakikabiliwa na mashitaka manne. Shauri hilo la uhujumu uchumi linawakabili Rajab...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Watu wa familia moja katika Kijiji cha Lokiri, Kata ya Kashasha, Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wamenusurika kufa baada ya gari la TANESCO kugonga nyumba yao leo Septemba 15 Taarifa za awali...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuumwa tumeumbiwa binadamu,simlaumu hata kidogo na namtakia apone haraka sana. Hoja zangu chache ni hizi ambazo zinaweza kuwa za kipuuzi kwako ila kwa mwingine ni za kufikirisha kidogo...
21 Reactions
145 Replies
27K Views
Lumumba wote mnaitwa kwnye thread hii.
7 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari wadau! Sina mengi zaidi ya Hili vitambulisho vya machinga ambavyo vimeelezea Kuwa machinga ni wale wote wenye mitaji ya chini ya 4million. Kwa jicho la makengeza Naona wastani mkubwa wa...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema Serikali inaendelea kuwatafuta watu waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’. Mfanyabiashara huyo alitekwa Oktoba 11 mwaka huu katika...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Pale Mambosasa alipotoa tamko kuhusu utekwaji wa MO lililotofautiana na dereva wa Uba, mara moja nilijua kwamba hapa kuna mchezo wa kuigiza unafanyika. Lakini pale Mambosasa aliposema wazungu...
16 Reactions
42 Replies
10K Views
Back
Top Bottom