Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Hii njia ni tamu ukisafiri kwa njia ya gari au hata basi, njiani hukosi chochote cha kusisimua kutokana na mazingira, watu wake na viswahili vyao, hali ya hewa na kadhalika
Ukisafiri kwa usafiri binafsi unaenjoy zaidi, hata kwa treni kupitia TAZARA pia kuenjoy kupo ya kutosha
Wazoefu mnasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisafiri kwa usafiri binafsi unaenjoy zaidi, hata kwa treni kupitia TAZARA pia kuenjoy kupo ya kutosha
Wazoefu mnasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app