Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watumiaji wa dizeli na mafuta ya taa nchini watatumia fedha nyingi zaidi kupata bidhaa hiyo mwezi huu huku watumiaji wa petroli wakitabasamu kutokana na mabadiliko ya bei ya ukomo kwa bidhaa za...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari Jana nimetoka kununua Luku hapa Moshi pale ofisini kwao Huwa ni kawaida kabisa kununua Luku pale. Jana nilishangaa nimekwenda kununua Luku nikakuta kuna gharama zimeongezeka (angalia...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Mtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi. Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa...
17 Reactions
204 Replies
32K Views
Hi wana jf! Nina kaka yangu ni mgonjwa ana tatizo la lumber lodosis ametibiwa hapa nchini na amepata nafuu lkn anataka kwenda Rwanda Kwa tiba zaidi Kwa gharama zake mwenyewe sio za serikali je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam wahusika popote mlipo. Sisi wakazi wa Bagamoyo-Sanzale hatuna umeme toka Jumamosi ya 2/02/2019 usiku ulipokatika. Tafadhali tunaomba ufumbuzi kwa tatizo hili ambalo mara kwa mara...
2 Reactions
0 Replies
985 Views
Imamu mkuu wa msikiti maarufu nchini Tanzania na Afrika mashariki Masjid Mtoro uliopo jijini Dar es salaam eneo la Kariakoo, Sheikh Zubeir bin Yahya Mussa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
12 Reactions
62 Replies
15K Views
I have only been to Kenya for about a week and Tanzania for 2 years. After being in Tanzania for a while and I crossed over to Kenya and into Nairobi I was amazed at how much more developed it...
12 Reactions
265 Replies
35K Views
Wadau naomba kujuwa TIC ni vigezo gani huwa wanaviangalia kwa muwekezaji kutoka nje ya nchi?mfano katika Airline (mashirika yandege)?? Ni nani huwa referees?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
VIjana wenzangu pale tunapoanza kujitegemea huwa tunazingatia kigezo kipi kati ya hivi. Umri kuwa mkubwa ndo unaona basi ukajitegemee hata kama huna kipato utateseka huko na malipo ya kodi mpka...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Nikweli watu wengi wamekua na nadharia tofauti tofauti kuhusiana na mitandano ya kijamii(digital platforms). Wengi wetu tunanadharia kwamba mitandao ya kijamiii ni sehemu pekee yakufanyia vurugu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme. Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jana wakati nikiwa nasikilizika Redio One hasa Kipindi chao cha Michezo nilipatwa na ' Mshtuko ' kidogo pale niliposikia ya kwamba kuna Bondia mmoja nchini Tanzania ( bahati mbaya nimemsahau Jina...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilipoingia jengo la PPF pale TAZARA, nilikuta kundi kubwa la watu ambalo idadi kubwa ni vijana. Wengi walikuwa na case moja tu inayofanana. Vijana hao walisikika wakizungumzia tamko la Rais kama...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu. Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba aliwai kusema “Ndugu zangu sina budi kuwa kumbusha kuwa siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow mawakala wa maxcom Kama kichwa kinavyojieleza naomba namna ya kuongeza Salio kwa kutumia lain ya halotel Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Basi la Kampuni ya BM Coach limepata ajali ya kupinduka leo majira ya Alasiri Machi 4, 2019 wakati likijaribu kukwepa Kichwa cha Treni (Kiberenge) maeneo ya Chekelei wilaya ya Korogwe mkoani...
1 Reactions
41 Replies
14K Views
Natambua Serikali inayo mikono mirefu lakini kwa namna ya pekee litizameni gazeti la mwananchi kwa macho kama yote! Kwa kutumia lugha hii nzuri na njema ni matarajio yangu mumenielewa.
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwanasheria Msomi vs Mwanasheria Msomi na Mwanasiasa. Sasa ni Tundu Antipas Lissu dhidi ya Profesa Paramaganda Kabudi katika ulingo wa siasa za kimataifa. Tundu Lissu ni mwanasheria nguli ni...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu mwaka 2016 nimekuwa na wazo la kutaka kukaa na kuongea na waziri mhusika wa wizara ya Elimu,Sayansi na Technolojia mheshimiwa Prof. Ndalichako. Wazo la kukaa nae linahusu kuweza kushauri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani anamkumbuka huyu jamaa? Hivi yuko wapi siku hizi? Maisha yake kisiasa yakoje?
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom