Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika harakati zangu nimekutana nayo sehemu. Ila ikabidi nifikiri mwandishi alifikiri nini..? ila nilichogundua mwandishi akufikiri sana Bali alifanya observation in real life jinsi girls na boys...
0 Reactions
7 Replies
762 Views
Takukuru yaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa mara ya pili, kumhoji aliyekuwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na Katibu wake, Selestine Mwesigwa. Ombi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi nilibahatika kupanda ndege yetu ya Dreamliner toka Mwanza mpaka Dar. Safari yetu ilichukua muda wa saa moja na robo kufika Dar. Huduma inayotolewa ndani ya ndege ni ya hali ya juu sana...
16 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari wana jf? Natarajia kuelekea mkoa wa Tabora kikazi hivi karibuni Sijawahi kufika mkoa huo kabla Sasa naomba msaada wenu wana jf kuhusu mazingira,mandhari na watu wa mkoa huo. ... nini...
0 Reactions
61 Replies
15K Views
Habari za wakati huu wanajamvi. . Nimefiwa na bibi yangu mzaa baba siku ya leo ambaye makazi yake ni mkoani Mwanza 😢😢. FLY HIGH GAMMA
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Elimu ni kitu bora kwa maisha ya watu wote duniani kwa sasababu mtu mwenye elimu anaweza akafanya kitu kwa kutumia maarifa aliyoyapata kwenye elimu yake.Hapa siongelei elimu ya darasani pekee na...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
The concept of PAYE is based on 6 levels as following: Level 1 Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable Hence Taxable salary = Gross Salary – Pension amount...
6 Reactions
13 Replies
28K Views
Wakuu munaoishi uko germany... Napenda Kujua mnaishi vp? Je mnaruhusiwa kufanya kazi za kubeba box kama marekan..wabeba box mnalipwaje? . Je hambaguliwi!?..... Nataka Kujua hayo, sababu wakuu...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna mtu amewahi kufanikiawa kwasababu ya kubet? Je, kunaaliewahi kujenga kwa hela ya betting? Je, kuna aliewahi kufungua biashara kwa hela ya betting? Je, kuna hata aliewahi kununua gari kwa...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
~ Ni mradi ujenzi nyumba ya Mwalimu* Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ametoa maelekezo ndani ya masaa 24 mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii wiki ni wiki ya Maombolezo ya msiba wa Ndugu, Mtanzania mwenzetu Ruge. Ndani ya msiba huu, kuna Wimbi kubwa la Wanafiki ambao na elimu zao na nyadhifa zao wanaendeleza Kuibua Wanafiki...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Tunashukuru sana watu wote mliofika kutufariji sisi ndugu zenu watanzania wenzenu katika msiba huu mkubwa wa shujaa mwongoza njia,Mungu amuweke mahali anapostahili kuwa.amen. Wengine inawezekana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mjini hapa maisha ya ajabu sana.watu wametengeneza system ilimradi wapige TU hela.mtu umepanga chumba unaambiwa kila mwezi utoe hela ya kuzolewa takataka shilingi 5000 hio kampuni yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Gari yangu carina ti imeanza tabia ya kutopiga starter vema...inabehave km mafuta yameisha while mafuta yapo,ila nikiwasha while nimekanyaga accelerator inawaka...mafund wameichek bila...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Habarini wakubwa, Naomba kufahamu kidogo. Kutokana na umbile la dunia( sphere), bara la Australia lipo Southen Pole of the Earth, maswali huwa najiuliza je watu, majengo & milima ipo upside...
5 Reactions
215 Replies
22K Views
Tangu jana mpaka muda huu kisiwa Zanzibar kuna uhaba mkubwa wa nishati ya mafuta Shughuli za uzalishaji wa bidhaa zinazotegemea nishati hiyo zimesimama kwa muda Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Habari! Poleni na msiba wa Ndugu yetu Mutahaba kwa wale wote ambao mmeguswa na msiba huu,Hongereni mliompokea Lowassa na poleni mlio mpoteza. Kwenye mada moja kwa moja.... Nikiwa katika kituo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mamalaka ya Mapato ( TRA ) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora imeendesha Operasheni maalumu ya kukagua na kutoa Elimu ya matumizi ya mashine za Kielektroniki ( Efd ) kwa Wafanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Acacia Sustainability at Crossroads, Transparency Issues Persist March 04, 2019 BY Staff Writer, Nairobi and Dar es Salaam Recently, investigation reveal, the Board of Directors of Acacia in...
1 Reactions
4 Replies
917 Views
Serikali ya Mkoa wa Pwani,kupitia Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Evarist Ndikilo amesema hawako tayari kuzikosa kampuni 13 ambazo zimepelekwa mkoani kwake kutokana na jitihada za Mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Back
Top Bottom