Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Jeshi la Polisi mkoani Kagera, limewafikisha mahakamani walimu wawili wa Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba wanaotuhumiwa kumuua kwa viboko mwanafunzi wa darasa la tano, Sperius Eradius...
8 Reactions
131 Replies
19K Views
Tundu lissu mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa TLS aliahidi kusimamia ujenzi wa jengo la chama hiki cha wanasheria ...Ujenzi wa jengo hilo ungegharimu kiasi cha shilingi bilioni 3 na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Namna wafanyakazi wa clouds media walivyoomboleza na kumzunguzia bos wao Ruge inaonekana kuwa bos Ruge ndiye aliyekuwa kila kitu clouds media. Sasa bos Ruge hayupo, jamii itarajie nini kutoka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba, Sperius Eradius (13), amefariki dunia akidaiwa kipigwa na mwalimu wake akituhumiwa kuiba pochi ya mwalimu...
10 Reactions
203 Replies
42K Views
Habari wadau katika pita pita zangu nimekutana na makala moja inayozungumzia huu ubao unaoitwa Ouija. Hii ni kile kidogo nilichokipata unaweza ukaongeza nondo pia, twende pamoja: Mwaka 1891...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! Shoga mjini wanakwambia usidharau mkaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Mjini Tabora hakuna dry cleaner hata moja ukiwa na suti yako ikichafuka utaifua kienyeji maana mji mzima hakuna dry cleaner. Ni aibu sana!
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kiukweli hiki kituo cha radio kimeanza kubadilika kwa kasi sana kuelekea kuleee kwenye kuunga mkono juhudi za mh maana sasa vipindi vyote ni vyenye positive thought dhidi ya serikali na chama...
6 Reactions
106 Replies
9K Views
Wafanyakazi 6 wa Kampuni ya Clouds Media Group wamepata ajali nje kidogo ya Jiji la Dodoma baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupinduka Walikuwa njiani wakitokea Mkoani Kagera walikokuwa kwa...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
SUMATRA pale ilala (Mwalimu house) kuna shida ya huduma. Tunaomba wahusika wapatupie jicho kwani malalamiko yamekuwa mengi.Huduma inatolewa kwa kusuasua kama wamelazimishwa na ndiyo maana muda...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutoakana na mji wa Dodoma kuwekwa rasmi kuwa makao makuu imepelekea wakazi wa mji huo kuchukuliwa mashamba yao na serikali kwa fidia ambayo kiuhalisia inanuka dhuluma (kwa mtazamo wangu). Hii...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Washitakiwa wa mauaji ya Mtoto Sperius Eradius, yaani mwalimu Respicius Patrick Mtazangira na Herrieth Gerald, wamefikishwa mahakamani, kisha kesi kuendelea kusikilizwa tena September 17, 2018...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama tunavyoona nchi za wenzetu hiki kitu kipo sana mfano kupitia yule mtanzania mwenzetu aliyechomwa sindano ya kifo huko ujerumani baada ya kushindwa kuvumilia tabu za ugonjwa alioupata , je...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam, imempandisha kizimbani Francis Mwakajila (25) kwa shtaka la kumbaka mtoto wa miaka nane. Akisomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Hanifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini za asabuhi mabibi na mabwana, kama wiki mbili hivi nilibahatika kutembelea jiji la Dar es salaam kutoka huku bushi kwetu kwa kina Bujibuji. Nilishangazwa na muonekano mpya wa jiji...
1 Reactions
2 Replies
833 Views
Morogoro wanapasifia tu ila naona pabovu. Morogoro huduma ya daladala mwisho SAA 3 usiku, labda kama unatoka mjini kati na kwenda Dodoma road(Kihonda) unaweza ukapata usafiri muda huo. Barabara...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari za muda huu wanajukwaa,Mimi nikiwa kijana wa kiume Mtanzania ambaye nimejitoa kwa moyo mmoja kufanya kazi ya kukesha usiku kuwalinda wenye nazo ili nipate walau pesa ya kujisomesha mwaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Wafungwa na mahabusu 340 kati ya 15,250 nchini waliopimwa Virusi vya Ukimwi (VVU) wamekutwa na maambukizi baada ya Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, kutoa elimu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Watanzania wenzangu, Nimefurahishwa na wazo lililotolewa Bukoba kuwa, itaanzishwa shule maalum ili kumuenzi Ruge Mutahaba. Tangu alipopumzishwa ndugu yetu Ruge Mutahaba, watu wengi wametoa...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom