TANESCO Bagamoyo Sanzale tunahitaji umeme

TANESCO Bagamoyo Sanzale tunahitaji umeme

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
275
Reaction score
475
Wasalaam wahusika popote mlipo. Sisi wakazi wa Bagamoyo-Sanzale hatuna umeme toka Jumamosi ya 2/02/2019 usiku ulipokatika.

Tafadhali tunaomba ufumbuzi kwa tatizo hili ambalo mara kwa mara linajitokeza.

Mara ya mwisho almost miezi kama mitatu imepita tulikaa wiki mbili bila umeme kwa tatizo la transforma kuharibika.

Tunaomba muuangalie kama shida ni hiyo transforma basi ibadilishwe ili ikidhi uhitaji wa watu.

Wakazi wa Bagamoyo Sanzale tunateseka sana kwa kukosa huduma hii ya umeme.

Asanteni na ni matarajio suala hili litapatiwa ufumbuzi mapema

Raia Mwema-Bagamoyo Sanzale
 
Back
Top Bottom