Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nipo hapa nasikiza hiki kipindi cha Jahazi. Namsikia huyu mzee Ephraim Kibonde anasema kuwa "Rais wa africa ambaye yuko madarakani akigombea urais akaukosa atakuwa ni mpumbavu sana" Ameenda...
11 Reactions
105 Replies
11K Views
Hilda nyirenda ameaga dunia asubuhi ya Leo .May her soul Rest In Peace.msiba upo mbezi na mazishi Kesho
1 Reactions
108 Replies
23K Views
If I have learned something from life, it's that, sometimes, the darkest times can bring us to the brightest places; I have learned that the most toxic people can teach us the most important...
2 Reactions
1 Replies
663 Views
Habari za majukumu wapendwa! Mimi kilio changu ni kuwaona watanzania wenzangu + waafrika wanaendelea kutothamini vitu ambavyo wamepewa na Mwenyezi Mungu. 1. Umepewa rangi nyeusi - inakuwaje...
1 Reactions
7 Replies
970 Views
Habari zenu waungwana,Napenda kujua ama mnielekeze jinsi ya kufika katika ofisi za Tazama Pipelines Limited kwa hapa Dar es Salaam,Nitashukuru nikipata wa kunielekeza mahali hapo
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni kosa kweli ametenda Kama mwanadam ila si kwa adhabu ile dhidi yake kwani mara ngapi mahakimu uwafunga watu kwa makosa au chuki na kupindisha haki sababu ya fedha au wazifa wa mtu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Takriban watu 50 waliokuwa wakisafiri na basi Abood wamenusika kifo na kujeruhiwa baada ya gari kuacha njia na kukigonga kituo cha mabasi yaendayo haraka kilichopo maeneo ya Kimara Corner wilayani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu,yani muda mwingi nipo mwenyewe,na mtu akijaribu kukaa na mimi naona...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Walimu ndugu zangu mjikite ktk kufundisha na kuelekeza watoto wetu huko mashuleni. Epukeni kutumia fimbo kufundishia watoto huko madarasani, hizi tabia zilikuwa ni enzi za ujima. Siku hizi kuna...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen...
1 Reactions
74 Replies
11K Views
KIFO CHA RUGE MUTAHABA KITUFUNDISHE KUJITAFUTA. Mimi ni mmoja kati ya mamilioni ya watanzania waliofatilia kwa ukaribu sana mazishi ya aliyekua mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi wa Clouds...
12 Reactions
7 Replies
3K Views
MKAZI wa Boko Magengeni, Elizabeth Balali (54), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa shtaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Akisomewa...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Mimi ni mmojawapo ninayepata Pensheni toka LAPF na HAZINA. Mpaka tarehe ya leo sijapata Pensheni yangu toka Hazina. Tegemeo langu ni Pensheni na ikicheleweshwa ndo pale matatizo yanapoingia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini jamani, mm kuna sehemu nimepanga kuna wapangaji kama 20 hivi. Shida choo na bafu ni moja tu. Nipoaeneo ya tiptop naomba msaada wa namba za bwana afya kama MTU anazo, mana choo kinaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juhudi za kusaka tiba ya ugonjwa wa Ukimwi zinaendelea miongoni mwa wanasayansi ulimwenguni, huku taarifa za matumaini kuhusu upatikanaji wake zikizidi kujitokeza. Tanzania haijaachwa nyuma katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Chanzo Cha maisha ya Watanzania kuwa magumu ni watanzania wenyewe, Kwa kutegemea serikali ambayo iko kwa ajili ya kuwaibia kwamba siku moja itabadilika na kuwaletea maendeleo,Mtanzania popote pale...
21 Reactions
46 Replies
7K Views
Ruge kafa kutokana na ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Alishindwa kutimiza masharti ya matumizi ya dawa mbali mbali alizokuwa anatumia na kushindwa kuuweka mwili wake kama ilivyotakiwa...
12 Reactions
79 Replies
16K Views
Nasema kama mlidhani naishia kwa machinga mmeumia. Lazima kodi ilipwe tu. Nchi inaendeshwa kwa kodi ya wananchi. ====== Dar es Salaam. Serikali imejipanga kujenga machinjio ya kuku ya kisasa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…