Ninaomba nilipwe pensheni yangu toka hazina

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Mimi ni mmojawapo ninayepata Pensheni toka LAPF na HAZINA. Mpaka tarehe ya leo sijapata Pensheni yangu toka Hazina. Tegemeo langu ni Pensheni na ikicheleweshwa ndo pale matatizo yanapoingia. Ninawaomba sana mnilipe pensheni yangu toka HAZINA hali yangu ni mbaya sana.
 
Naona vyuma vimekaza mpaka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Hatari sana na pole nyingi kwa wastaafu wetu. Tunapata mafunzo mengi kupitia hizi changamoto zinazo wakabili.
 
So sad....
tapatalk_1544299120592.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom