Magwengwekwe
Member
- Feb 16, 2019
- 6
- 45
Habarini jamani, mm kuna sehemu nimepanga kuna wapangaji kama 20 hivi. Shida choo na bafu ni moja tu. Nipoaeneo ya tiptop naomba msaada wa namba za bwana afya kama MTU anazo, mana choo kinaweza kujaa halafu mwenye nyumba wala hashughulikii hilo. Mwenye namba za bwana afya hapa dar anitumie kwa 0652721282
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app