Kijana Amka, Pambana Kuitafuta Kesho yako

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Chanzo Cha maisha ya Watanzania kuwa magumu ni watanzania wenyewe, Kwa kutegemea serikali ambayo iko kwa ajili ya kuwaibia kwamba siku moja itabadilika na kuwaletea maendeleo,Mtanzania popote pale ulipo maisha yako na Familia yako yanakutegemea wewe na si mwingine.

Ni mda wa vijana kuamka, ( kuungana kimakundi kwa wale wanaofahamiana vizuri historia zao) Ili mtengeneze kesho yenu, msisikilize maneno ya wanasiasa ya kuwaletea maisha Bora ili Hali wapo kwa ajili ya kuwaibia na SI vinginevyo.

Nchi yetu iko corrupted na msaada wake kwa wananchi ni kidogo Sana kulinganisha na nchi zilizoendelea,Kwa Africa mfano pale kwa madiba (SA), Wananchi wake hasa maskini wanapata non - employed benefit kwa ajili ya kuwalea wazee na watoto wasiwe ombaomba( Baggers) pamoja na kupunguza dependency ratio na pia vijana wanapewa funds bila vikwazo kukuza entrepreneurship skills ili siku za mbeleni waje wawe na wawekezaji wengi wa ndani, Kwa Tanzania ukiuliza haya utaambiwa Haiwezekani nchi yetu bado changa ama utapewa cheo Cha uchochezi Ilihali Bajeti ya mlo mmoja wa waziri akiwa safarini na timu yake pamoja na maradhi ni zaidi ya mishahara ya miaka 30 ya wafanyakazi wa umma wa kima Cha chini 30 wanaolipwa 300,000/= kwa mwezi.

Binafsi naamini Sana kwenye kusaidiana hasa kwa watoto tuliotoka familia duni na masikini, Nina uhakika asilimia kubwa ya watu waliofanikiwa kwa Tanzania ni lazma wamewahi kushikwa mkono mahali katika Safari zao hata Kama ni kwa mda mfupi tu, na ukimkosa mtu wa kushirikiana nae au kukushika mkono pambana kwa jasho na damu ili utengeneze Kesho yako, Usiwategemee watawala kwa Africa Hawa wapo kwa ajili ya matumbo na familia zao hata siku Mona usije ukajidanganya kwamba wanakupenda, Anakupendaje wakati analipwa mshahara wa zaidi ya millioni 10, Analipiwa nyumba, Chakula, Anapewa ghari la zaidi ya Million400 na baada ya miaka kadhaa anabadilishiwa, Analipiwa mfanyakazi, budget ya mafuta.. Kipindi hichohicho anatunga Sera wewe ulipwe 300k, 500k, 700k bila posho ya usafiri, nyumba Wala posho nyingine ya ziada, na anaweka kila namna ya kukwamua mafao yako huku zao wakichukua zote bila bugudha.

Ushirikiano ulio na nidhamu ndio nguzo pekee kwa vijana maskini, Mimi Nina Amini Kuna vijana Wana access na pesa za mitaji ila hawajui wazifanyie Nini na pia Kuna vijana Wana idea nzuri Sana lakini hawana hata pa kuanzia (mtaji), Kama Hawa wawili wakikutana na wote wakawa waaminifu I am sure watapunguza umaskini kwenye familia mbili na kuendelea

Watawala sio wa kuwategemea, Angali watanzania wa kawaida, watanzania ambao wanaishi katika maisha ya umaskini, wasiokuwa na sauti, waliokosa watetezi, ni watanzania ambao huathirika haraka pale mabadiliko yanapotokea hasa ya kisiasa na kiuchumi. Sera mbovu za watawala hazitoi unafuu kwa wananchi,FIKIRIA mtu kalima mahindi na amevuna ya kutosha ( ana ziada ya kuuza), ukifika msimu wa kuuza anaambiwa hakuna kuuza nje wakati ndani ya nchi hakuna solo la kueleweka na Bei ni ya chini kulinganisha na kuuza nje. Hilo haliishi hapo tu nenda kwenye korosho,ni balaa tupu mpaka najiuliza tuna viongozi kweli, angalia kahawa,pamba na tumbaku na mazao mengine masoko ni holela hayaeleweki.

Kwa mazingira na maisha ya kitanzania kwa ujumla ni vigumu Sana mtu yeyote kufanikiwa kutoka chini bila kupata ushirikiano wowote ule hasa kwa mtu anaetoka familia maskini, NI VIGUMU MNO ( kwa waliotoka familia Kama za akina LEMUTUZ ni vigumu kunielewa hapa).

Vijana msiweke mategemeo yenu kwa serikali na watawala, nchi masikini hazieleweki, hazijali raia wake.Just imagine kiongozi anasimama bila hata aibu anasema " Kama hamna chakula mfe tu", mwingine anakili wako serikali kwa ajili ya matumbo yao.

Kijana Amka Sasa ipambanie kesho yako, hii ndiyo itakayo kufanya uheshimike na watawala na usisubiri watumie unyonge wako kukunyonga
 
Umeongea fact sana nataman vijana wote wazile kbs na haya mambo ya siasa watafte wenyewe maisha yao ya mbelen kuliko kutegemea siasa itakuletea ugali mezani!..fursa zipo kibao basi tu na sisi tumekakairishwa
Pambana mama
 
Kunavitu viwili unapaswa kuvifahamu.
1. Wanasiasa ndiyo wanatengeneza sela( policymakers), utake usitake zikiwa mbaya zinamazara kwa yeyote anajishugulikia kutafuta kipato chake. Mfano kwa sasa industry ya habari, madini, maduka etc imebuma kwa sababu ya policy mbaya za kiuchumi
2. Wanasiasa wanawekwa na wanachi madarakani. Nijambo LA msingi tuache ushabiki wa simba na yanga ( ccm na upinzani) kwenye maswala ya kutafuta nani anatufaaa. Tukileta ushabiki tukaweka popoma lazima tuumie katika shuguli zetu za utafutaji wa kipato.

Hatupaswi kuacha kujihusisha na siasa Bali tuache ushabiki wa vyama kwenye uchaguzi maana tunaangamiza maendeleo ya maisha yetu.
Umeongea fact sana nataman vijana wote wazile kbs na haya mambo ya siasa watafte wenyewe maisha yao ya mbelen kuliko kutegemea siasa itakuletea ugali mezani!..fursa zipo kibao basi tu na sisi tumekakairishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa kwa watanzania ni kukosa ushirikiano, ubinafsi na kuishi maisha ya matumaini yasiyokuwepo.

Yaani mtu anaona kabisa njia fulani watu fulani wamepita na mwisho wao umekuwa wa kawaida lakini wao wanapita njia hizo hizo wakiamini mwisho wao utakuwa tofauti.

Mfano kwa sasa Magufuli anavuruga kila kitu, maisha yamekuwa magumu na hakuna tumaini lakini watu wanaamini kesho itakuwa nzuri tu.

Na kama una miaka 28 mpaka JIWE aje atoke miaka 10 utakuwa umegonga 38 tayari - JUA LA UTOSI.

Vijana tulioko katika umri wa utafutaji kwasasa tunapitia hali ngumu sana.

Ajira hakuna, mmachinga uwe na kitambulisho, blogging/YouTube ni dhambi, e- commerce ni dhambi.

Tunaishi kama tuko jela.
 
Kunavitu viwili unapaswa kuvifahamu.
1. Wanasiasa ndiyo wanatengeneza sela( policymakers), utake usitake zikiwa mbaya zinamazara kwa yeyote anajishugulikia kutafuta kipato chake. Mfano kwa sasa industry ya habari, madini, maduka etc imebuma kwa sababu ya policy mbaya za kiuchi.
2. Wanasiasa wanawekwa na wanachi madarakani. Nijambo LA msingi tuache ushabiki wa simba na yanga ( ccm na upinzani) kwenye maswala ya kutafuta nani anatufaaa. Tikileta ushabiki tukaweka popoma lazima tuumie katika shuguli zetu za utafutaji wa kipato.

Hatupaswi kuacha kujihusisha na siasa Bali tuache ushabiki wa vyama kwenye uchaguzi maana tunaangamiza maendeleo ya maisha yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mm sikumaanisha hiki unachoongea,
 
Chanzo Cha maisha ya Watanzania kuwa magumu ni watanzania wenyewe, Kwa kutegemea serikali ambayo iko kwa ajili ya kuwaibia kwamba siku moja itabadilika na kuwaletea maendeleo,Mtanzania popote pale ulipo maisha yako na Familia yako yanakutegemea wewe na si mwingine.

Ni mda wa vijana kuamka, ( kuungana kimakundi kwa wale wanaofahamiana vizuri historia zao) Ili mtengeneze kesho yenu, msisikilize maneno ya wanasiasa ya kuwaletea maisha Bora ili Hali wapo kwa ajili ya kuwaibia na SI vinginevyo.

Nchi yetu iko corrupted na msaada wake kwa wananchi ni kidogo Sana kulinganisha na nchi zilizoendelea,Kwa Africa mfano pale kwa madiba (SA), Wananchi wake hasa maskini wanapata non - employed benefit kwa ajili ya kuwalea wazee na watoto wasiwe ombaomba( Baggers) pamoja na kupunguza dependency ratio na pia vijana wanapewa funds bila vikwazo kukuza entrepreneurship skills ili siku za mbeleni waje wawe na wawekezaji wengi wa ndani, Kwa Tanzania ukiuliza haya utaambiwa Haiwezekani nchi yetu bado changa ama utapewa cheo Cha uchochezi Ilihali Bajeti ya mlo mmoja wa waziri akiwa safarini na timu yake pamoja na maradhi ni zaidi ya mishahara ya miaka 30 ya wafanyakazi wa umma wa kima Cha chini 30 wanaolipwa 300,000/= kwa mwezi.

Binafsi naamini Sana kwenye kusaidiana hasa kwa watoto tuliotoka familia duni na masikini, Nina uhakika asilimia kubwa ya watu waliofanikiwa kwa Tanzania ni lazma wamewahi kushikwa mkono mahali katika Safari zao hata Kama ni kwa mda mfupi tu, na ukimkosa mtu wa kushirikiana nae au kukushika mkono pambana kwa jasho na damu ili utengeneze Kesho yako, Usiwategemee watawala kwa Africa Hawa wapo kwa ajili ya matumbo na familia zao hata siku Mona usije ukajidanganya kwamba wanakupenda, Anakupendaje wakati analipwa mshahara wa zaidi ya millioni 10, Analipiwa nyumba, Chakula, Anapewa ghari la zaidi ya Million400 na baada ya miaka kadhaa anabadilishiwa, Analipiwa mfanyakazi, budget ya mafuta.. Kipindi hichohicho anatunga Sera wewe ulipwe 300k, 500k, 700k bila posho ya usafiri, nyumba Wala posho nyingine ya ziada, na anaweka kila namna ya kukwamua mafao yako huku zao wakichukua zote bila bugudha.

Ushirikiano ulio na nidhamu ndio nguzo pekee kwa vijana maskini, Mimi Nina Amini Kuna vijana Wana access na pesa za mitaji ila hawajui wazifanyie Nini na pia Kuna vijana Wana idea nzuri Sana lakini hawana hata pa kuanzia (mtaji), Kama Hawa wawili wakikutana na wote wakawa waaminifu I am sure watapunguza umaskini kwenye familia mbili na kuendelea

Watawala sio wa kuwategemea, Angali watanzania wa kawaida, watanzania ambao wanaishi katika maisha ya umaskini, wasiokuwa na sauti, waliokosa watetezi, ni watanzania ambao huathirika haraka pale mabadiliko yanapotokea hasa ya kisiasa na kiuchumi. Sera mbovu za watawala hazitoi unafuu kwa wananchi,FIKIRIA mtu kalima mahindi na amevuna ya kutosha ( ana ziada ya kuuza), ukifika msimu wa kuuza anaambiwa hakuna kuuza nje wakati ndani ya nchi hakuna solo la kueleweka na Bei ni ya chini kulinganisha na kuuza nje. Hilo haliishi hapo tu nenda kwenye korosho,ni balaa tupu mpaka najiuliza tuna viongozi kweli, angalia kahawa,pamba na tumbaku na mazao mengine masoko ni holela hayaeleweki.

Kwa mazingira na maisha ya kitanzania kwa ujumla ni vigumu Sana mtu yeyote kufanikiwa kutoka chini bila kupata ushirikiano wowote ule hasa kwa mtu anaetoka familia maskini, NI VIGUMU MNO ( kwa waliotoka familia Kama za akina LEMUTUZ ni vigumu kunielewa hapa).

Vijana msiweke mategemeo yenu kwa serikali na watawala, nchi masikini hazieleweki, hazijali raia wake.Just imagine kiongozi anasimama bila hata aibu anasema " Kama hamna chakula mfe tu", mwingine anakili wako serikali kwa ajili ya matumbo yao.

Kijana Amka Sasa ipambanie kesho yako, hii ndiyo itakayo kufanya uheshimike na watawala na usisubiri watumie unyonge wako kukunyonga
Witmak hii ndio mentality yangu. Kupambana huku niking'amua fursa mbalimbali.
Nina quote yangu huwa nasema "only the weak and old sleep, the rest fights"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa kwa watanzania ni kukosa ushirikiano, ubinafsi na kuishi maisha ya matumaini yasiyokuwepo.

Yaani mtu anaona kabisa njia fulani watu fulani wamepita na mwisho wao umekuwa wa kawaida lakini wao wanapita njia hizo hizo wakiamini mwisho wao utakuwa tofauti.

Mfano kwa sasa Magufuli anavuruga kila kitu, maisha yamekuwa magumu na hakuna tumaini lakini watu wanaamini kesho itakuwa nzuri tu.

Na kama una miaka 28 mpaka JIWE aje atoke miaka 10 utakuwa umegonga 38 tayari - JUA LA UTOSI.

Vijana tulioko katika umri wa utafutaji kwasasa tunapitia hali ngumu sana.

Ajira hakuna, mmachinga uwe na kitambulisho, blogging/YouTube ni dhambi, e- commerce ni dhambi.

Tunaishi kama tuko jela.

Unayosema yana ukweli mtupu lakini katika changamoto hii tuliyonayo kuna watu wanatusua..wanapiga hela..wameona fursa!haisaidii hata kulalamika!anza ulipo
 
Back
Top Bottom