Tuthamini vya kwetu

Tuthamini vya kwetu

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Habari za majukumu wapendwa!
Mimi kilio changu ni kuwaona watanzania wenzangu + waafrika wanaendelea kutothamini vitu ambavyo wamepewa na Mwenyezi Mungu.

1. Umepewa rangi nyeusi - inakuwaje unataka uibadiri iwe kama ya mzungu?
2. Ulipewa Almas na dhahabu - ilikuwaje mababu zetu wakabadirishana na groli za kuchezea bao?
3. Ulipewa miti yenye uwezo wa kutibu maradhi tofautitofauti - inakuwaje unatumia madawa yenye kemikali?

Yapo mengi na sababu kubwa ni kwa sababu hawa jamaa walichokilenga - walilenga mbali na kweli wamefanikiwa. Basi kama walifanikiwa tufike hatua tubumburuke - tuachane na mambo ya kudharau kila kitu chetu na kukiona ni cha kishenzi.

Kwa leo nawaletea habari nzuri .. hakuna asiyejua faida ya unga wa mlonge - wataalamu wameandika sana; watafiti wametafiti sana na sasa tumeanza kuupanda na kuuanda kwa ajili ya matumizi. Ni chakula na ni dawa kwa maradhi mbalimbali.

Unga umefungwa kwenye kifungashio bora na ndani umefungwa kwenye karatasi nyingine isiyopitisha hewa wala maji.

Pakt moja Tshs. 5,500/= ; Pakt 2-3 @ Tshs. 4,500/=; Pakt 4 - 7 @ Tshs. 4,000/=; Pakt 8 - 20 @ Tshs. 3,500/=; Pakt 21 - ~ @ Tshs. 3,000/=
Mawasiliano zaidi tuonane kwa PM.
Mop.jpg
 
View attachment 1039525
 
Mk

Mkuu Natarajia hata vazi lako litakuwa Kama Sterling wa THE GODS MUST BE CRAZY eti eeh!!
 
Kwanza hongera kwa ubunifu wako, ningependa kutoa pendekezo hapo Mkuu juu ya bei ulizo ainisha.

Kama ni sahihi bidhaa yako kuuza kwa 5500 kwa pakiti moja na inakulipa pia kwa shilingi 3000 kuanzia 20. Unaonavipi ukazigawa systematically mfano pc 1->4 ukauza 5,500/= alafu 5->20 ukauza 3,500/= na 21 nakuendelea ikawa 3,000/= tofauti na ulivo grade izo bei kwa matazamio yangu naona unaweza kuwachanganya wateja tofauti na bei chache zenye kueleweka maadam zinakupa faida..?
 
NestoryJ; ahsante kwa ushauri wako ... nitaufanyia kazi ila kuna kitu kinacholeta changamoto ...
1. Shamba lazima liendeleze - hivyo kuna gharama ..
2. Nguvu kazi ya kuiandaa lazima niwalipe ...
3. Lable + kifungashio kina gharama ... Vinginevyo ...

Kwa wale wasiotaka iliyofungwa kwa umaridadi huo bei inaweza ikawa chini ya hapo...

Tena .... Ahsante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom