Makumbusho, kuna ukuta mmoja mrefu ufuate mpaka unafika getini unaingia hapo wala usiwe na wasiwasi wowote.Habari zenu waungwana,Napenda kujua ama mnielekeze jinsi ya kufika katika ofisi za Tazama Pipelines Limited kwa hapa Dar es Salaam,Nitashukuru nikipata wa kunielekeza mahali hapo
Habari zenu waungwana,Napenda kujua ama mnielekeze jinsi ya kufika katika ofisi za Tazama Pipelines Limited kwa hapa Dar es Salaam,Nitashukuru nikipata wa kunielekeza mahali hapo
Kijitonyama Karibu Na Makumbusho Huenda Ziko Huko Wanakokaa Wenyewe Hao Jamaa
Kama atashindwa kabisa....Makumbusho, kuna ukuta mmoja mrefu ufuate mpaka unafika getini unaingia hapo wala usiwe na wasiwasi wowote.
Ofisi zao zipo pembeni ya makao makuu ya puma kama unatoka kariakoo kwenda mbagala baada ya daraja upande wa kuliaHabari zenu waungwana,Napenda kujua ama mnielekeze jinsi ya kufika katika ofisi za Tazama Pipelines Limited kwa hapa Dar es Salaam,Nitashukuru nikipata wa kunielekeza mahali hapo
kigamboni ulivuka daraja unapoanza kuingia mjini utaona matank kushoto kwako karibu na Tanesco kigamboni...karibu na PUMA makao makuu yalihamishwa .wakahamia kigamboniHabari zenu waungwana,Napenda kujua ama mnielekeze jinsi ya kufika katika ofisi za Tazama Pipelines Limited kwa hapa Dar es Salaam,Nitashukuru nikipata wa kunielekeza mahali hapo
Samahani sana je unaweza nitajia kituo cha kushukia mie natokea ilala yaani itanibidi nipandie pale Machinga Complexkigamboni ulivuka daraja unapoanza kuingia mjini utaona matank kushoto kwako karibu na Tanesco kigamboni...karibu na PUMA makao makuu yalihamishwa .wakahamia kigamboni
Sent using Jamii Forums mobile app