Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ujenzi wa barabara unaondelea (kimara - Kibaha) Mkandarasi anajenga kambi yake ya vifaa vya ujenzi na ofisi ndani ya eneo la barabara. Ikumbuke jengo linalojengwa ni sehemu ya fedha za ujenzi wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kanisa la KKKT halitakuwa salama kama litaendelea kuwavumilia viongozi wa kanisa na watendaji ambao wanatuhuma zisizovumilika ambazo haziendi sambamba na taratibu za Mungu . Moja ya viongozi wa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Hii itaendelea kuwa dhana milele 1.ni wanawake wachache sana watadumu na ndoa zako km wakipa fursa ya 40+,italeta inferiority to men na vurugu uanzia hapo 2.mwanamke ni pambo la nyumba hatakiwi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetenga Sh bilioni 11 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Loduare hadi Golini kwa kiwango cha lami, yenye urefu wa kilometa 88 katika eneo la kushukia bonde...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Niombi langu kwa Azam tv kwamba sisi wateja wenu tunaomba mechi za ligi zitakazo husisha Azam fc. Simba fc na Yanga fc ziwe zinaonyeshwa kwenye chanel ya " Azam Sport HD" Kulingana na hadhi ya...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wana jukwaa Nilikuwa na swali Nilipeleka nyaraka muhimu pale NIDA Ili niweze kupata kitambulisho na nipeleke uhamiaji kwa kupata hati ya kusafiria Lakini naona nachelewa Sana kupata...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Uchawi una aina mbili kuna mweusi ndo huo wa kumkufuru mungu na kutumia majini ,na kuna aina hii nayoenda kuwafundisha inaitwa uchawi mweupe hutumiwa sana na wakinga na wasukuma ,huu hauhisishi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Alizaliwa katika familia ya Waluba huko Baudouinville (sasa Moba) karibu na Albertville (Kalemie) kando la Ziwa Tanganyika. Alisoma huko Ujerumani ya Mashariki na Paris akarudi Kongo baada ya...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Naomba ufafanuzi coz Mh Makonda anafanya mambo makubwa sana Mfano Leo katoa ahadi kedekede na amesema yatafanywa chini yake. Sasa,najiuliza RC dar ana OC nyingi,au mshahara wake mkubwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sasa Jijini Dar es Salaam sijaona eneo ambalo kila mara lina Makongamano ya Kidini na Maombi kama Kawe ( Tanganyika Packers ) ila kama kuna eneo ambalo lina Maasi mengi na mambo mengi ya ajabu...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, nimeulizia kiwango cha kuchangia bima NHIF kwa mwaka eti ni milioni 1.6, dah Sasa nikajiuliza kuliko nilipie hii bima si afadhali nijitibu tu mwenyewe kwa cash nikiugua? Maana nikipiga...
12 Reactions
74 Replies
10K Views
Wakati wa msiba wa Ruge hatukupata kusikia matangazo mengi na muda mwingi, kama sio muda wote, ilikuw ni majonzi kwa nyimbo nyingi sana za maombolezo, story za marehemu na muda wote walikuwa...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Unapewa namba kumuona afisa unasubiri kuanzia asubuhi had I jioni, na unaweza husionane Naye, badala ya kufanya shughuli za kujenga Taifa tunashinda tumekaa kwenye foleni.
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Askofu wa katoliki jimbo kuu la Songea, Askofu Dammian Dallu ameicharukia Serikali juu ya utaratibu wake mpya wa kukusanya mapato na kuwataka kuwa na leseni katika Vituo vya watoto yatima...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamaa yangu kapigiwa simu mara nne na namba ngeni hakutaka kupokea. Yeye alijua ni jamaa anayemdai akaona auchune, maana atamjibu nini? Pesa yakumpa hana, vyuma vimebana hadi vinaingia kutu, hata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi nzima inanyesha mvua, huku jua limekaza kama kiangazi. Kuna nini? Zanzibar inanyesha, Dar inanyesha, Moro inanyesha, Arusha/Moshi inanyesha. Tanga wadigo mmefanyaje?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zetu hawa nishawasindikiza mara nyingi moshi kuzika, taratibu zao huwa hawachimbi kaburi siku ambayo sio ya mazishi na wakisafirisha mwili wa marehem huwa hawaufikishi nyumbani usiku...
0 Reactions
133 Replies
23K Views
SEKTA ya Afya inatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia nchini na katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutoa huduma kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) huku...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
TBC,channel ten, Uhuru FM & magic. Fm BEI GN KUFUTA KTK KIG'AMUZI !!!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…