Watu wengi waliofanikiwa huzungumza swala la role model au mtu wanaye mtazama na wanatamani kuwa kama yeye. Je kwako wewe mwana JF ,swala hili lina uzito kwako na role model wako ni nani na kwa nini?
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na...
Abiria tunaosafiri kwa magari ya abiria kutoka Chanika kwenda Kariakoo tunalalamikia ongezeko la nauli linaloanza kutumika kuanzia majira ya saa 11 jioni na kuendelea.
Badala ya nauli ya kawaida...
Kero yangu kuu ni Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Manispa ya Mpanda – Katavi, tatizo la maji ni kero kubwa sana, yaani inaweza pita wiki tatu au mbili hatuna maji hasa Kata ya Mpanda Hotel, Mtaa...
Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Julius International Airport, Terminal II inatia aibu pale nje, abiria wanaposubiri muda wa kuingia katika ukaguzi vipaza sauti vimechakaa na havitoi sauti...
Unajua tena nilikuwa mamkoa .
Kijiji chote wanajua nzee nimetoka Dar.
Basi nilibadilisha mpaka tembea yangu,
Maisha yalikuwa mazuri kila ntu anataka kuwa karibu na nzee wa Dar.
Huku na kule...
Kwema wakuu..
Kama umebahatika kupita miji mikubwa Dar Es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya na miji mingine hasa mijini, ni dhahiri frame za biashara ni nyingi sana na zimesongamana sana. Yaani fremu...
Hii imekuwa hali ya kawaida Umeme kukatika mara kwa mara.
Mi huwa najiuliza sana...???
Wanaweza amua wakakata umeme kila siku.Haijawahi pita Week nzima bila umeme kukatika.
Sasa kama Inchi...
Nisameheni🙏
Hakika mtaka vyote hukosa vyote sasa najuta hata wale wako kuwa wananiona wa maana wamenitupa kwa trash
Ndugu zangu, msipende kuchukiza watu, kuna watu ukimess up nao, utachukiwa na...
Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo?
Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande...
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu...
Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893).
Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School).
Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza...
Huyu dem nampenda hatujafanya chochote anataka nimtolee
posa!!
Na hataki kutoa kabisa anasema mpaka Nimuoe mana hataki kuchezewa!!
Yani sielewi anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena...
Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno.
Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno.
Yani wewe...
Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio...
Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya...
Ikumbukwe ziliongezwa siku za ku apply mkopo kwa elimu ya juu na kati kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Ila kwa sasa, ukiingia kwenye account ya kuombea mkopo, inaandika NO APPLICATION...