Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%. Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda...
8 Reactions
40 Replies
495 Views
Nadhani mafuta ni laana kama mnayo na hampigani wenyewe kwa wenyewe basi mtapigwa (najua china wanachimba ila hawauzi maana hayawatoshi hata wenyewe)
1 Reactions
4 Replies
36 Views
Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Usimdharau mtu anae nyamaza kimya baada ya kudhalilishwa, usifikiri kimya chake ni udhaifu, huenda kimya hicho kinaandaa ushindi wake. My friends, ladies and gentleman, kukata tamaa ni dhambi. Ni...
2 Reactions
12 Replies
118 Views
This is interesting. Kwa sababu Dolly Parton - like music ni antidote for those kinds of disasters. Maybe I should write this tedious story to make my point. Nilikuwa India wakati ule naishi...
4 Reactions
3 Replies
128 Views
Tanzanian Musical Artist Mr. Civilian-Coin quoted that "The Richness of many Artists in United States is because of good governance in Arts and Culture" ANALYSIS: United States of America (USA)...
1 Reactions
3 Replies
24 Views
According to Civilian-Coin, We have gone to school because of daily Economic activities to our Parents not because of their Academic education they have. ANALYSIS: Our Parents every day do...
1 Reactions
6 Replies
61 Views
Serikali inaendelea kuhakikisha maeneo ya kazi kwa watumishi wa umma ni salama ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya kiwango. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) katika kikao na...
0 Reactions
6 Replies
253 Views
▪︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS) ▪︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito wa kuhakikisha Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Kwenye hii biashara kati ya yanga na Fabrizio nani kanufaika zaidi na yupi kapigwa? maana yanga wao ndo wakwanza kumpost jamaa kuwa ametangaza jezi zao, na hivyo kutufanya kujua hilo huku lengo...
2 Reactions
8 Replies
171 Views
As salaam alaykum Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea. Kuna...
2 Reactions
29 Replies
308 Views
Mange Kimambi amefungua kesi katika mahakama ya jimbo la California nchini Marekani (State Superior Court). Mange anatoa milio mingi na kuilalamikia kampuni ya META Platforms, Inc. inayomiliki...
1 Reactions
3 Replies
83 Views
Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo. Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
2 Reactions
23 Replies
213 Views
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe (kushoto) na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Zuweina Farah wakizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa...
6 Reactions
41 Replies
636 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 03, 2026 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.
0 Reactions
3 Replies
54 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya...
1 Reactions
21 Replies
284 Views
Matendo 26:9 NEN [9] “Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti. Wapingaji wa uwepo wa Mungu ni wengi, wanaolikataa jina...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano...
-1 Reactions
5 Replies
52 Views
Back
Top Bottom