Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya...
1 Reactions
21 Replies
284 Views
Matendo 26:9 NEN [9] “Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti. Wapingaji wa uwepo wa Mungu ni wengi, wanaolikataa jina...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano...
-1 Reactions
5 Replies
52 Views
Anonymous
Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Oh salaale! Nimekumbuka katika historia ya soka duniani ilipata kutokea radi moja matata sana huko Kongo iliyoua wachezaji wote 11 wa timu ya Basanga (Home) na kuwabakisha wale wa timu...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Anonymous
Kuna taasisi inaitwa Information Systems Audit and Control Association ISACA Audit Association wanaendesha mafunzo ya CISA (Certified Information System Auditor). Sijajua kwa wengine lakini...
0 Reactions
4 Replies
84 Views
Anonymous
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya...
17 Reactions
70 Replies
914 Views
Waumini hawamchangii mwanadamu, wanamchangia Mungu na huduma yake. Mwanadamu akizila na kununulia kobasi na kuongeza wanawake, sisi hatuhusiki. RITA naomba muende na Minaaninii mingine kufanya...
1 Reactions
0 Replies
26 Views
  • Redirect
Aliyekuwa Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
0 Reactions
Replies
Views
Na. Philipo Hassan - Dodoma Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa, Agosti 31, 2026 amekielekeza Kitengo cha Mahusiano ya Jamii kuongeza wigo wa...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Ushuhuda Kuna Mdada mmoja alimaliza chuo miaka 4 imepita , baada ya kumaliza chuo Mambo yakawa Mambo, ameingia mtaani hakuna ajila akatafuta huku na Kule hakapata mahali pa kujishikiza Miaka...
3 Reactions
5 Replies
550 Views
Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na...
4 Reactions
5 Replies
81 Views
Tangu jana nimeshindwa kununua umeme kupitia Airtel na Halotel. Airtel nimekatwa hela na sijapata token. TANESCO shughulikieni tatizo hili tunalala gizani hela ya kununua umeme tunayo.
0 Reactions
14 Replies
783 Views
Hii barakoa imekaa kijanja Sana wakuu, ingekuja kipindi kile Cha Corona ingebamba Sana.
6 Reactions
20 Replies
428 Views
Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu? Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
2 Reactions
23 Replies
405 Views
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele...
0 Reactions
2 Replies
65 Views
One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma... So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari.. Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa...
3 Reactions
8 Replies
90 Views
Taifa limeharibika vibaya sana,viongozi wanajiona ni miungu watu,wanamiliki uhai wa kila mtu,rushwa inanuka kila ofisi na ALIYEJIPA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI KIHUNI NDIYE ANAHARARISHA,vyombo vya...
1 Reactions
0 Replies
38 Views
Back
Top Bottom