Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wataalamu wa sheria wanatueleza kuwa Quasi-Judicial Bodies kama Mabaraza ya Ardhi, Tume ya Ajira, n.k. siyo MAHAKAMA. Lakini tangu serikali (iliyokuwepo wakati huo - siyo hii ya sasa) ilipoamua...
1 Reactions
0 Replies
28 Views
Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu. Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa...
1 Reactions
5 Replies
62 Views
Haya mambo yanahuzunisha sana na kuchochea chuki dhidi ya serikali kutoka kwa wananchi. Huyu Shekhe Mwaipopo alisikika wazi yale aliyosema atafanya, na kwamba alikuwa na genge lake ni wazi...
4 Reactions
2 Replies
90 Views
Anonymous
Kwetu ni Arusha sehemu wanaita Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni, tangu enzi za bibi zetu hakuna maji hakina shule hakuna hospitali hakuna chochote miaka na miaka naomba tupazie sauti tupate hata maji...
1 Reactions
1 Replies
36 Views
Dkt. Khamis Mussa, mchambuzi wa masuala ya siasa, amemtaja Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa ni “tatizo kuu la matatizo ya Watanzania”, akidai kuwa sehemu kubwa ya changamoto...
2 Reactions
29 Replies
273 Views
Ukiangalia maandiko yanayohusu Mungu wa Kiyahudi/ Abrahamic god ambaye ndiye wa Wakristo na Waislamu utaona kuna tabia (character) nyingi za kiume na mfumo dume. 1. Kwanza anaitwa baba na katika...
4 Reactions
40 Replies
310 Views
Hapa mjini, kupata maziwa pure ambayo hayajaongezwa kitu ni kama bahati ya mtende. 😃 Hebu fikiria hii scenario... Aliyekamua maziwa kutoka kwa ng’ombe, akaweka maji kidogo. Yule msambazaji naye...
12 Reactions
27 Replies
342 Views
Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni katika Manispaa ya Kahama imekuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na hali yake kuwa mbaya kwa muda mrefu. Ubovu wa barabara hiyo unasababisha usumbufu na...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Anonymous
Maeneo ya NAMANGA MABUCHANI kuna jengwa ghorofa ambayo haina hata kile kibao cha kumuonesha mkandarasi mkuu, halafu msingi wa ghorofa ulichimbwa tukafikiri ni ujenzi wa nyumba ya kawaida kumbe ni...
2 Reactions
0 Replies
58 Views
Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa. Hatuhitaji drama katika hili.
18 Reactions
45 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
33 Views
Anonymous
Oil ya pikipiki tulikuwa tukinunua kwa Shilingi 12,000 ya Km 5,000 mwezi uliopita, sasa tunauziwa Shilingi 18,000 hadi 20,000. Inakuwaje tuna pandishiwa vitu namna hii jamani au nayo watasingizia...
2 Reactions
3 Replies
105 Views
Anonymous
Wakumbusheni DAWASA kuwa Kimara Temboni – Makei kuna wananchi tunaoishi na tunahitaji huduma ya maji. Ni mwezi wa pili sasa eneo hilo halijapatiwa maji, hali ambayo imekuwa kero kubwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
13 Views
PUBLIC NOTICE RESUMPTION OF FLIGHTS TO MOSCOW 4th September 2026, Dar es Salaam Further to our notice of 3rd September 2026, Air Tanzania Company Limited (ATCL) is pleased to advise customers...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Mnakula sana hii nchi jamani yaani billion 730 kwaajili ya el nino ambayo itaathiri mikoa Michache tu haifiki hata 7 hizo fedha ni nyingi sana hata ikiwa chini ya hapo bado ni fedha nyingi sana...
6 Reactions
13 Replies
224 Views
PUBLIC NOTICE TEMPORARY SUSPENSION OF FLIGHTS TO MOSCOW 3rd September 2026, Dar es Salaam Air Tanzania Company Limited (ATCL) wishes to inform its valued customers and the general public that...
2 Reactions
13 Replies
204 Views
  • Redirect
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu...
1 Reactions
Replies
Views
Anonymous
Mfuko wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10% katika Wilaya ya Rungwe si rafiki na unatia wasiwasi kutokana na changamoto tunazokutana nazo katika kufuatilia fedha zetu. Tulifanya maombi ya mkopo wa...
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja...
5 Reactions
53 Replies
469 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu...
5 Reactions
13 Replies
262 Views
Back
Top Bottom