Naomba nitoe kero yangu kuhusu huduma ya AVA AI ya kupiga simu na kuuliza maswali.
Nimekutana na hali ambayo naiona kama udanganyifu. Nilielewa kuwa huduma hiyo inagharimu Sh115 kwa mwezi, lakini...
Katika kuperuzi peruzi kwangu huko mitandaoni nilijionea mbunge wa ujerumani aliyeshiriki katika mkutano wa 153 hapa arusha akilaama juu ya disappearance ya watu hapa Tanzania, lakini nikajiuliza...
Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana.
Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana.
Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo.
wakipata...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema ufungaji holela wa nyaya za mawasiliano katika eneo la Kariakoo na baadhi ya maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam unaathiri mandhari ya Jiji...
Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna...
Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi.
Kuna kitu gani kingine...
Wadau nisaidieni kujua huyu mwanadada aliko. Maana sauti yake nimeimiss sana. "Nikiripoti kutoka jijini Dar es Salaam ni mimi mtangazaji wako, Ufoo Saro wa ITV."
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza...
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 18 jela Yusuph Twalibu Msindo maarufu kama Baba Amina (40) mkulima, mkazi wa Kijji cha Njinga Kata ya Ndanda, Tarafa ya...
Mimi ni mtumishi, nilikopa kwenye Kampuni ya Bayport kiasi cha Shilingi Milioni 5 tangu Machi 2026. Nilikopa kwa muda wa miaka kumi. Nimetumikia deni langu kwa kipindi cha miezi 6. Nimeomba...
Nidhamu si kuwa na tabia nzuri tu. Nidhamu inahusisha pia malengo tunayotaka kufikia, aina ya mtu tunayetaka kuwa, maadili tunayotaka kuishi nayo, na mfumo tunaoutengeneza ili maisha yetu yaende...
Inabidi watu tujifunze kuishi na upweke .
Haijalishi upo kwenye mahusiano au la , swala la upweke halikwepeki haswa kwa Dunia hii ambayo kila mtu yupo busy fighting on his own survival.
Ifike...
Habari wandugu.
Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu.
Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith.
Baada ya maisha na Adam akaamua...
Na Ferdinand Shayo, Manyara.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambapo ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.